SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Serikali ya Zb imeanza utaratibu wa kutoa bei elekezi kwa bidhaa muhimu kwa mlaji kama ngano na mchele. Atakayekiuka kufungiwa leseni na kuchukuliwa hatua za kisheria. Sisi (Bara) tumekalia bei elekezi za mafuta tu, ilhali nauli hazishuki. Lini serikali yetu itamjali mlaji wa kawaida huku Bara kwa kuweka bei elekezi?
Source TBC
Source TBC