Zanzibar na bei elekezi za vyakula; sisi usingizi wa pono!

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Serikali ya Zb imeanza utaratibu wa kutoa bei elekezi kwa bidhaa muhimu kwa mlaji kama ngano na mchele. Atakayekiuka kufungiwa leseni na kuchukuliwa hatua za kisheria. Sisi (Bara) tumekalia bei elekezi za mafuta tu, ilhali nauli hazishuki. Lini serikali yetu itamjali mlaji wa kawaida huku Bara kwa kuweka bei elekezi?
Source TBC
 
Niambie kama kweli kuweka bei elekezi ni practical katika zama hizi za soko huria na ufisadi?!, ukiweka bei ndogo, supliers wanaficha bidha ku-create scarcity - consumers have to buy at a suplier's desired price.
 
Ni rahisi kufanya hivyo kwa watu milioni moja walio kisiwani kuliko watu milioni 40 wenye kupakana na nchi jirani 8
 
serikali ya zb imeanza utaratibu wa kutoa bei elekezi kwa bidhaa muhimu kwa mlaji kama ngano na mchele. Atakayekiuka kufungiwa leseni na kuchukuliwa hatua za kisheria. Sisi (bara) tumekalia bei elekezi za mafuta tu, ilhali nauli hazishuki. Lini serikali yetu itamjali mlaji wa kawaida huku bara kwa kuweka bei elekezi?
Source tbc
bei elekezi ya sukari aliyo semwa imeshindakana sembuse haya mamisosi MENGINE!!??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom