Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Limo Zanzibar.Liko Pemba au Zanzibar?
Mhh!! Mtanzania huyu?Liko Pemba au Zanzibar?
Nadhani huko ni ajali ya kawaida ya moto. Pemba kungelikuwa na speculations nyingi!Limo Zanzibar.
Lipo ungujaLiko Pemba au Zanzibar?
Limo Zanzibar.
Ok, then most likely hakuna hujuma. Pemba ingelileta maswali???? kwa hali ya sasaLipo unguja
Nimesikia mwenyewe breaking news ITV wakisema zaidi ya mabanda 100Mtoa mada acha kupotosha watu mabanda gani 100, ya upande gani, 100 yenyewe soko zima hayafiki leo unapotosha tu hapa. Haya thibitisha kwa picha ili nikose cha kuandika tena.
walichemka na ndio maana taarifa ya habari ya itv yalipita maandishi chini tu, mabanda yaliyoko soko la mwanakwerekwe hata 50 hayafiki,Nimesikia mwenyewe breaking news ITV wakisema zaidi ya mabanda 100