ZANZIBAR: Mapacha walioungana wafariki dunia

Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
117
Points
160

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 117 160
MWANAMKE mmoja mjini Zanzibar Farihati Maulid (1 amejifungua watoto mapacha walioungana Usiku wa Mwaka mpya.

7559d1263584539-a-mpch.jpg


Mwanamke huyo alijifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mnazi Mmoja saa tatu asbuhi....

Mapacha wote ambao ni wa kiume wenye moyo mmoja, wameunganika kuanzia kwenye kitovu hadi kwenye mfupa wa Kidari wana uzito wa kilo 2.8.

Habari zaidi zinasema mama wa watoto hao ni mkazi wa Mwanyanya, Bububu katika Manispaa ya Zanzibar na uzazi huo ulikuwa wa kwanza.source: Issa Yussuf wa Daily News Zanzibar
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,190,287
Members 451,082
Posts 27,666,623