Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

itakua ni yale mabomu tu
yaliyolipuka leo amna kingine
ila msimamo wa maalim mwisho kesho
 
Hivi kama CUF akiwa mshindi wa urais,inakuwaje kwenye kikao cha baraza la mawaziri wa Muungano,kwani rais wa Zanzibar ni mjumbe.Ebu niambieni sheria inasemaje juu ya mamlaka ya rais wa zanzibar kwenye muungano

Nani alikudanganya kama maalim seif ni mpinzani? Seif yule ccm pure, alikuwepo serikali ya SUK miaka 5 iliyopita uliona lolote? Nayeye alikuwa kama hao ccm tu licha ya wizara kibao kuongozwa na CUF, na hakuna siri zozote zilivuja nje, siasa mwanaharamu usiamini kabisa
 
Japo haifanani sana, lakini Rais kuwa Waziri Mkuu na Waziri Mkuu kuwa Rais ni kawaida tu, sema CCM na wahafidhina wake hawataki, lakini kama siyo ubinafsi na lengo ni kujenga nchi, na kama kweli Maalim Seif kamzidi Dr Shein, CCM ikubali matokeo tu.

Mfano ambao haufanani sana na na nadharia ya siasa za Tanzania ni ule wa Vladimir Putiin na Medvedev wa Urusi.Putin alikubali kuwa Waziri Mkuu na Medvdev akawa Rais, baadae Medvedev akaw Wazir Mkuu huku Putin akiwa Rais!
 
Yni eti unashindwa kuwauliza wao,unatuuliza sisi,Afu ukiitwa lofa unahamaki
 
Hivi kama CUF akiwa mshindi wa urais,inakuwaje kwenye kikao cha baraza la mawaziri wa Muungano,kwani rais wa Zanzibar ni mjumbe.Ebu niambieni sheria inasemaje juu ya mamlaka ya rais wa zanzibar kwenye muungano

Seif ataingia kwenye baraza la mawaziri JMT kwa muujibu wa kua rais wa zanzibar
 
Kama hizi habari ni za kweli basi walau UKAWA tumeanza kufuta machozi ya hawa nzi wa kijani?Kwani lazima Shein awe makam wa raisi??? Mbona hao CCM mara zote walikuwa wakimdhiaki Malim Seif kuwa safari hii hatashirikishwa ktk Umakamo??
VIVA UKAWA!!!!!!
 
Back
Top Bottom