yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,283
- 2,332
Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje ..
Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
Kila mtu aende kwao sasaKwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje ..
Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
Wanaofaidika kwa sasa ni waliopewa bandari na MbugaAnayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani?
Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme.