Zanzibar Kuachana na Magumashi ya TANESCO.Yaingia Mkataba Kuzalisha Umeme Wake Yenyewe

Walichelewa sana kufanya haya nazani ilikuwa mwanzoni kabisa wa mwaka walipitia karatasi za huo mradi, visiwa muhimu sana vile vimekaa kutegemea umeme toka bara ni hatari Kwa usalama na ukuaji wa kiuchumi.
 
Umeme wa upepo, mungu akibadili uelekeo wa upepo je? Mabadiliko ya tabia nchi hayana athari kwenye mwenendo wa upepo?
 
Zanzibar imeingia makubaliano na kampuni kutoka Australia Ili kuanza Kuzalisha umeme wake Yenyewe.

Mradi huo wa Nishati safi ya Jua utagharimu Shilingi Trilioni 3 na utakapokamilika unatarajia Kuzalisha megawatt 450.

Hongera Zanzibar Kwa hatua hii ,

View: https://www.instagram.com/p/C1KgRJlopYd/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Hapo ndo ujiulize sasa! Trillion 3 kwa Zanzibar si mapato ya mwaka mzima! Wanaitoa wapi?
Screenshot_2023-12-23-21-18-40-40_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Zanzibar ni mojawapo wa sababu ya Tanesco kutofanya vizuri kwa sababu Zanzibar haijawahi kulipa bili za umeme wa Tanesco muda wote tangu wakati wa Nyerere Zanzibar wamekuwa wanafutiwa madeni ya umeme. Hii ni habari njema kwa Tanganyika watapumua kidogo na ikiwezekana waya za Tanesco ziondolewe immediately watakapoanza kutumia umeme wao. Watu wengi wanadhani Tanganyika inaitawala Zanzibar lakini ukweli ni opposite Zanzibar ndio inaitawala Tanganyika.
 
Kwa nini hawawakatii?
 
Kwani mradi unatekelezwa ndani ya mwaka mmja Hadi useme washindwe kulipa kisa Bajeti yake inalingana na value ya mradi?
Kwamba huku bara tunaweza anzisha mradi wa Triolion 50 ikiwa tunajikadilia kukusanya Trillion 35? Ata kama mradi wa miaka mitatu ila sio sawa mzee! Ukumbuka Mwal Nyerere alishindwa jenga Hydroelectric Power pale Rufiji sababu ya bajeti tu na ujue kipindi hicho ilikuwa Billion kadhaa tu sio kama sasa Trillion 6.
 
Kwa nini ishindikane? Kama pesa ni ya Mkopo wa miaka 5 au zaidi na inatolewa kadiri ya utekelezwaji inashindikana nini?

Harafu huanzishi mradi unaozidi Bajeti Yako Bali ulio sawa au pungufu ya Bajeti Yako
 
Back
Top Bottom