Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 179
Kutokana na kubakwa demokrasia Zanzibar,sheria hata za kupiga kura zinavunjwa!,
nimebahatika kuona kuwa mtu anaenda kupiga huku akiwa amevaa sare za chama katika chumba cha kupigia kura,hi ni haki jamani!.
Zanzibar imeshafanya maamuzi yake 25 Oktoba,kinachoendelea sana ni ubakwaji wa haki za Binaadam.
Zanzibar bila CCM inawezekana.