Zanzibar kesho itapata uhuru wake

Kama ww ni Mtanga na nyika chagua kati ya nchi hizi jirani ni ipi iungane na Tanganyika baada ya Zanzibar kufanikiwa kutoka katika makucha ya mkoloni mweus Tanganyika.
Tanganyika+Kenya= Tankennia
Tanganyika+Uganda= Tanugania
Tanganyika+Burundi= Tanburnia
Tanganyika+Rwanda= Tanrwania
Tanganyika+Congo= Tanconnia
Tanganyika+Malawi= Tanmalnia
Tanganyika+Mozambique= Tanmoznia
 
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke

Wapemba waende wapi? kwani wewe hujasikia Zanzibar yao inajumuisha maili kumi ndani ya ukanda wa pwani ya bara? yaani Dar pia ni yao.
 
Sawa kabisa waondoke,huyo Nasoro moyo ana nyumba amejenga Tanga,alipokuwa waziri,kila mara aja Tanga na familia yake kupumzika,ahame Tanga,Tanga ni Tanganyika si zanzibar.

maswala ya kua na nyumba nje ya nchi yako ni kosa siku hizi?
 

me nadhani wachague nchi ndogo nyengine kama burundi au rwanda wakiwadhulumu tuone kama patakalika dadadeki
 

Kwani Bhakhresa kabinafsishwa? Au kafanywa kipengele katika Muungano? Muiteni aachie ardhi, tupo wenye uwezo wa kuwekeza! Yeye ni mfanyabiashara, anatafuta biashara. Kama Pemba kungemlipa angewekeza huko, jiulize kwa nini hakuwekeza kwa kiasi hicho alichowekeza Bara? Mlikuwa mnaimport kutoka India, nani kawakataza kuimport kutoka huko na kuwalazimisha muimport kutoka Bara? Acha Ghirba!
 

Unatamani kuunganisha nchi upate jina zuri? Muungano wa nchi ni zaidi ya kupata jina jipya, ni juu ya kuunganisha itikadi kwa lengo la kujiongezea nguvu ya kupambana na umaskini wa kipato kwa watu wake! Nilitarajia uulize katika majirani uliowataja, nani anaweza akaendana na sera na itikadi yetu Watanzania?
 
Mke na mme wanaounganishiana vikojoleo wanaachana iweje muungano wa kanchi kadogo kama zanziberi?
LiberoSHOG!
 
duuu niwewe kweli, leo umeungana chadema kuwatusi wenzi wenu kafu ambao ni walibelali
Umeona eeee kwenye ukweli nasema na ninachukizwa na vitendo vya kishoga na Udini kwani ni ubaguzi wa hali ya juu
Na unaweza kukuta NILIKUWA MWANZILISHI WA CHADEMA 92'93' na bado naipenda lakini SIWAAAMINI KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…