John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
HahahaaaZanzibar ikija tangazwa Wilaya ya Pwani ndio utulivu utapatikana katika Jamhuri ya Tanzania, nasema Jamhuri ya Tanzania, sio jamhuri ya muungano, muungano ulifanyika enzi hizo, sasa kuna Jamhuri moja tu.
Mkuu bora sisi tunashindia urojo tunakuwa watu wenye kujali ubinaadamu kuliko wewe unaeshindia Sembe kisha ubinaadamu huujui ulivo na hata matumizi ya akili huwa magumu kwako kama sembe lenyewe. Nikuulize, kwani Bakhresa zile juice, ice cream na unga anaupeleka zanzibar mnunuzi ni mtanganyika kule? Halafu akili za sembe kweli ni za kisembe sembe, products za Bakhresa zipo Kenya, kwanini zilifika hadi kenya na wala hatuna muumgano nao? Tumia akili babaaa!!!
Kisha mkuu mpemba anaemiliki kiosk anamaendeleo kuliko mtanganyika anaemiliki kiosk, mpemba atashughulikia familia, lakini mtanganyika ni kiweka heahima bar ndio 1st priority. Then kaeni mkijua kuwa wazanzibar wapo sehemu nyingi tu duniani, na hatuna muungano na nchi izo, sasa sijui akili zenu zinawatuma mufikirie vipi kuwa wazanzibari watatimuliwa Tanganyika! Lolz
Nyinyi mtu kafa bado mnamuandama tu, kama si nyerere nyinyi mngefanywa ya Darfur, mnacheza na waarabu nyie?Unadhani kwa nini nyerere alishindwa kutangaza?
Waliberali wanataka kuuvunja muungano..
Mnajidanganya mkijitenga mtapata misada kutoka Arabuni n akil ndogo sana.
Nyinyi mtu kafa bado mnamuandama tu, kama si nyerere nyinyi mngefanywa ya Darfur, mnacheza na waarabu nyie?
Mkuu bora sisi tunashindia urojo tunakuwa watu wenye kujali ubinaadamu kuliko wewe unaeshindia Sembe kisha ubinaadamu huujui ulivo na hata matumizi ya akili huwa magumu kwako kama sembe lenyewe. Nikuulize, kwani Bakhresa zile juice, ice cream na unga anaupeleka zanzibar mnunuzi ni mtanganyika kule? Halafu akili za sembe kweli ni za kisembe sembe, products za Bakhresa zipo Kenya, kwanini zilifika hadi kenya na wala hatuna muumgano nao? Tumia akili babaaa!!!
Kisha mkuu mpemba anaemiliki kiosk anamaendeleo kuliko mtanganyika anaemiliki kiosk, mpemba atashughulikia familia, lakini mtanganyika ni kiweka heahima bar ndio 1st priority. Then kaeni mkijua kuwa wazanzibar wapo sehemu nyingi tu duniani, na hatuna muungano na nchi izo, sasa sijui akili zenu zinawatuma mufikirie vipi kuwa wazanzibari watatimuliwa Tanganyika! Lolz
Dahh!afadhali leo kuwa umekiri kumbe z'br sio nchi huru,kuna wenzako watanganyika hawataki kuiona z'br inatoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
weeee Bara sio kwenu ambako ukiwa na kajirangi keupe basi hata foleni hukai, unawapita watu halafu eti "waarabu hao" mnapigwa kilaini ndugu zetuNdio maana maliasili zote tanganyika mnawaachia weupe waondoke nazo.
Mnafanya nini huko kila siku tu wewe ni mgeni BinMgeni mnatukanwa, mnachomewa vibanda vyenu, leo wanfuta kiuongo Ndoa za jinsia moja CHOMOKA HUKO KM HUJAOLEWA wenzako Kimataifa wanajulikana km Waliberali waachie visiwa vyao kwani haya mwaka hawatamaliza watatengana tena Waunguja na Wapemba,
waHizbu na WaAfroShiraz mwishowe itarudi yaleyale PUNDA HAPANDI MUSCAT
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
wewe kweli huwezi kuelewa mtego, maana yake mjitangazie uhuru ili mkaliwe kimabavu, kwa nini kila siku matusi na kelele, semeni sisi sio Tanzania tenahatuondoki mana hamkutumwa na mtu kuja kuungana na sisi. kiherehere, njaa chuki na utapeli wa nyerere ndo ulokufkisheni apo. na ce hatuondoki ngo
Hapo kwenye nyekundu ni dude gani hilo? Hatulitaki, basi!kuna taarifa nimezipata kuwa kesho jumamosi tarehe 1 mwezi wa 6 2013 . Kunafanyika mkutano mkubwa sanaaa, utakao ongozwa na mzee nassoro moyo, maalim seif, rais mstafuu abeid amani karume, himid mansoor na wanazi wengine wa kundi linaloidai zanzibar huru.
Ajenda kuu ni kuidai zanzibar na muungano wa mkataba.
Habari toka chanzo cha kuaminika taarifa za mkutano huo ni mdomo kwa mdomo si jui mnalijua hilo.
Kwanini iwe nongwa kwa wazenji kudai haki yao,pitieni histry japo kidogo kujua tanzania ni muungano wa nchi ngpi?au hili jina tanganyika linakutieni kichefuchefu?ZANZIBAR DAIMA.