Zanzibar kesho itapata uhuru wake

Zanzibar kesho itapata uhuru wake

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
kuna taarifa nimezipata kuwa kesho jumamosi tarehe 1 mwezi wa 6 2013 . Kunafanyika mkutano mkubwa sanaaa, utakao ongozwa na mzee nassoro moyo, maalim seif, rais mstafuu abeid amani karume, himid mansoor na wanazi wengine wa kundi linaloidai zanzibar huru.
Ajenda kuu ni kuidai zanzibar na muungano wa mkataba.
Habari toka chanzo cha kuaminika taarifa za mkutano huo ni mdomo kwa mdomo si jui mnalijua hilo.
 
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
 
Hizo no porojo, wambie walipe na bill kabisa TANESCO make tumewalipia kiasi cha kutosha,
 
[h=1]Juni 1, siku ya mamlaka kamili[/h] Posted by khelef on Sunday, May 19, 2013 · Leave a Comment

mamlaka-day-640x420.jpg

Wazanzibari wanajiandaa kwa mkutano mkubwa kabisa wa aina yake kwenye viwanja vya Kibandamaiti, Mjini Unguja, siku ya tarehe 1 Juni 2013, kwa kile kinachofahamika kama "Siku ya Mamlaka Kamili", ambapo wanakusudia kuuonesha na kuueleza ulimwengu kwamba msimamo wao wa kuwa na taifa, dola na nchi huru kama ilivyokuwa dhamira ya wapigania ukombozi wa nchi hii na baadaye Mapinduzi ya 1964, upo pale pale.
Kila Mzanzibari aliye ndani ya nchi na ambaye yuko nje yake, lakini anaweza kuhudhuria anaombwa kufanya hivyo. Dhamira ni kujenga hoja, na hoja huwa na visaidizi vyake. Umma hapa ndicho kinachotakiwa. Umma kujitokeza kwa wingi.

information hii nimeikuta tena sa ivi zanzibardaima.net
 
kuna taarifa nimezipata kuwa kesho jumamosi tarehe 1 mwezi wa 6 2013 . Kunafanyika mkutano mkubwa sanaaa, utakao ongozwa na mzee nassoro moyo, maalim seif, rais mstafuu abeid amani karume, himid mansoor na wanazi wengine wa kundi linaloidai zanzibar huru.
Ajenda kuu ni kuidai zanzibar na muungano wa mkataba.
Habari toka chanzo cha kuaminika taarifa za mkutano huo ni mdomo kwa mdomo si jui mnalijua hilo.

Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?
 
Na nadhani Mnajua GAS na OIL zinaweza kupatikana Maeneo ya PEMBA -- Maeneo ya ZNZ hakuna chochote...
Kwahiyo -- Urafiki na Pemba lazima Muudumishe!!!
 
habari ya kivivu kabisa hyo................

.....itakuwa nchi gani hyo? wambie waajiri japo mgambo kwanza mana hawana hata jeshi..

au ndyo sharia.........................
 
Afazali na muondoke bara make mmekua mzigo kwa kuwalisha, umeme bungeni mmeleta mambumbu wote hawajui hata kutafakari na wala hawajui hata makusufi ya chama chao,.
 
Afazali na muondoke bara make mmekua mzigo kwa kuwalisha, umeme bungeni mmeleta mambumbu wote hawajui hata kutafakari na wala hawajui hata makusufi ya chama chao,.

Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
 
Back
Top Bottom