Sasa huu mgogoro wa wazanzibari ni wa kisiasa kitamaduni..ni wa nini haswa na wewe unafikiria muafaka wake ni unaweza kupatikanaje?!Niliwahi kusema kuwa siasa ya Tanzania ni copy and paste ya ile ya Zanzibar (ngoma ikipigwa Zanzibar....).
Sasa huu mgogoro wa wazanzibari ni wa kisiasa kitamaduni..ni wa nini haswa na wewe unafikiria muafaka wake ni unaweza kupatikanaje?!
Nimekuelewa kwa hiyo ujio wa siasa za vyama vingi ndio kumechangia migogoro ambayo tayari ilikuwa imeshapoa..Historia ya Tanganyika n'a Zanzibar), kwani watu walianza kuvinasibisa vyama vingi vya Sasa
Nimekuelewa kwa hiyo ujio wa siasa za vyama vingi ndio kumechangia migogoro ambayo tayari ilikuwa imeshapoa..
Si ajabu mwenyekiti wenu yupo tayar kutoa watu wa kuwaongoza toka upinzani hii ni kutokana na upungufu na uwezo mdogo wa kifikra mlionao vijana wa lumumbaShwari ya Zanzibar ilikoma pale CUF walipoungana Na wakorofi Chadema Na kuunda Ukawa Na kumuweka Lowasa kama mgombea uraisi wao
Halalsmiki anaongea ukweli mtupu.Acha kulalamika, toa ushauri kama unayoyasema ni kweli
Ujue haya mateso hayapati aliyekuwa simwana ccm pekee wao pia wanapata mateso kama wanavyoyapata asiyekuwa mwanachama wao. Kwa hiyo samaki akioza mmoja wote wanaoza.Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla wameregea kupita kiasi, Nidhamu za wogo zainawasumbua.
Bila ya kubadilikia wataendelea kunyanyaswa na CCM kwa miaka mingi mbele.
Halalsmiki anaongea ukweli mtupu.
Ninani kwenye serikal dhalimu hiyo anaesikiliza ushauri kutoka upande WA pili?
Zanzibar Kuna vijana kibao wamesoma na wengi wao wako mitaani hawajiriwi kisa hawana kadi za ccm/simwana ccm. Fika kule uyaone kama hukujui. Chuki zote zinazijitokeza sababu ni viongozi wenu wachache WA ccm wasioitakia mema Zanzibar kwa kuihusisha Zanzibar na ugaidi na kusema itakua dola ya kiislam. Wacha Chuki zako na wewe.
Mtu hawi mpumbavu kwa sababu wewe umemuita mpumbavu, bali huwa mpumbavu kutokana na taathira ya matendo yake yanayothibitisha uhalisia wake.Wazanzibari njaa lazima iwatese,hamfanyi kazi,utalii mmebaki kuwa watazamaji tu,wageni ndio wanapiga hela,wengi wenu mmebakia kuwala wazungu wazee,na kula unga,kuongea kiitaliano,sijui mtamlaumu nani.
Ina maana huko tanganyika vyuma vimeregea?Wazanzibari njaa lazima iwatese,hamfanyi kazi,utalii mmebaki kuwa watazamaji tu,wageni ndio wanapiga hela,wengi wenu mmebakia kuwala wazungu wazee,na kula unga,kuongea kiitaliano,sijui mtamlaumu nani.