kingadvisor
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 109
- 30
Katika mkutano wa wataalamu wa sayansi wa kuzindua INTERNATIONAL YEAR OF PLANET EARTH (IYPE) uliofanyika hotel ya Ngurudoto hotel kuanzia tarehe 8-9 may 2008 Arusha na kushirikisha wanasayansi waliobobea kwenye mambo ya Global warming ullripoti kuwa visiwa vyote vya Tanzania ikiwemo Zanzibar na Mafia vitauwa vimezama kabisa majini itakapofikia mwaka 2100.Walieleza mfano wa kisiwa cha Ras Nungwi huko Zanzibar ambacho tayari kimeshamezwa na maji kwa mita 100 na kiwango cha maji kinaendelea kupanda kumeza Zanzibar Taratibu.
Bara tusishangae iko siku tutawaona wanzanzibari wanalilia muungano wakiwa wanaelea kwenye maji kama samaki.
KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA VISIWA VYOTE VYA BAHARI YA INDIAN OCEAN VITAZAMA VISIWA HIVYO VIKIWEMO, MAURITIUS, SEYCHELLES, COMORO, REUNION, MADAGASCA n,k
unajua kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko visiwa vyote hivyo vilivokuwa jirani na Zanzibar. Kama ubishi wako ni wa msingi toa maelezo yanayojitoleza juu yaliyotokea Ras Nungwi.
Mnafiki mkubwa weeeeeeeeeeeee.........wanasayansi wa uwongo walikupoteza:juggle:
Kama yaliandikwa na Kingadviser ni kutoka tafiti za kisayansi, hutakiwi kuwahukumu wanasayansi!!
Basi utupe maelezo ya yaliyoipata rasi ya Nungwi Zanzibar.
Mbona ya rift valley kuachana na kupisha bahari huisemi?
Hivi sasa Zenj ikipotea, ile mipaka ya bahari itakuwaje?
Huyu FF atakuwa ni mke wa Jusa ! Hivi sasa Zenj ikipotea, ile mipaka ya bahari itakuwaje?
FF, sometimes you are too exreme to the extent of loosing simple reasoning.
Kwa kuwa aliyeleta hiyo taarifa ya kuzama kisiwa cha Zbar basi alitakiwa azungumzie kuachana kwa rift valley kupisha bahari! Hiyo kwake haikuwepo, kwa kuwa unayo basi iweke hapa.
Mbona amezungumzia na visiwa vingine pia?
Usiwe na akili za ki-Jusa Jusa bana.
Hii habari nilishaisikia na kuna kisiwa karibu na India, jina limenitoka, Rais alishafanya hadi kikao cha kujadili hili tatizo akiwa chini ya maji na anapumulia mitungi ya Oxygen.