pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Sungu sungu hakuna huko?Vikosi vyetu vya ulinzi viko busy na uchaguzi huku wakiacha ndugu zangu wa nanyamba kitaya wakiuawa na magaidi...
CCM wameona Bora uchaguzi kuliko maisha ya raia wao wa kusini
How do u identify huyu ccm au huyu actHapo watawakamata act tu, polisi atakaejiroga kuwakamata ccm ataogelea hadi tanga
Amani ni tunda la haki. Haki ionekane imetendeka ndiyo uvune amani.Amani itawale.
Mnajua kuchonga aiseeeeee!Vikosi vyetu vya ulinzi viko busy na uchaguzi huku wakiacha ndugu zangu wa nanyamba kitaya wakiuawa na magaidi...
CCM wameona Bora uchaguzi kuliko maisha ya raia wao wa kusini