Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali si shwari. Vurugu zaibuka na watu kadhaa wanadaiwa kujeruhiwa vibaya

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
330
1,000
Keyboard warrior koko
Ngonjera nyingiiiiii kawaulize wale magaidi wa mkuranga,kibiti na Rufiji kikichowakuta mliwapamba sanaaaaa baadaye kilichowakuta mkaanza kulia lia humu

Subiri mziki wake JWTZ waingie kazini
Sasa kwa ufahamu wako hizo sehemu ulizosema kulikuwa na magaid tunaowazungumza hapa,kwanza ninaowazungumza hapa wanakuwa na target maalum,sio hao wa kibiti,mimi hata sielewi ugaidi wao ni kitu gani,kitu nyuma ya pazia,sina uelewa nao watu ambao hawakukutwa na hata explosive belt unawaita magaidi ,mashee wa uamsho ndio mnawaita Magaidi ?

Fikiria vizuri kinachosemwa hapa sio unajidai mkubwa wa kuitetea CCM kumbe unatoke unyarwanda. WaTazania wakipapurana nyinyi wageni mlioiteka CCM ndio mnazidi kujinafasi na kufurahi.
 

Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
15,709
2,000
CCM na ACT mnaanza kupigana kisha mabomu ya polisi yanawarudia nyote hii shida, mji wenyewe mdogo na wote mnafahamiana duu!!! Poleni sana huko kwa siasa za kibongo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom