Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

MV spice Islander ilipomezwa ulikuwepo kutoa huo msaada wa kibinadamu!!!!!!!!!!!!!!!!!mjinga mpe mda
 
Ikiwa hawawezi kugharamia muungano wataweza kweli kuchangia gharama za mashirikisho hayo? Mimi bado naunga mkono muungano lakini kwa uwazi ili Kila upande ufaidike lakini pia uwajibike. Masimango hatutaki, maana kuna kauli kuwa tunawaziba, tunawaibia, tunawanyima nafasi za ubalozi n.k.
 
Znz hawataki kuwajibika kwa lolote lile. Wanachotaka ni vyeo, nafasi za kazi, kuruhusiwa kuingiza bidhaa zo bila kodi na kila aina ya ubwanyenye na umwinyi. Hawana kitu kinaitwa gharama katika misamiati yao.

Hao waliokwenda Dodoma wamegharamiwa na ofisi ya makamu wa rais amabyo inagharamiwa na Tanganyika.
Hawagomi kwenda kwenye pesa, tatizo wakishapewa pesa midomo na maneno machafu kuliko maliwato.

Hivi nani anaweza kwenda kumdhulumu mtu mwenye uchumi kama wa znz. Lakini soma watu wao wanavyodai, eti wanadhulumiwa!

Huyo jamaa yao amesema ukweli kabisa nasi tunasema Tanganyika itakuwa kwa watanganyika.
Niliwahi kusema hawa watu hawajui wanatafuta nini. Nikawashauri waondoke katika muungano maana wao hawana muungano, wamebebwa tu. Bilioni 240 ni pesa za kuendesha wizara moja kwa mwezi sasa watoe nini.

Hizo hesabu alizosema jamaa tuliwahi kuziweka hapa na kusema serikali 3 bado ni zigo kwa Mtanganyika maana hiyo ya tatu atahudumia nani? Wamekimbia kimbia hoja lakini mwisho ukweli unajitokeza.

Tanganyika watakuwa wajinga kama wataendelea kuumiza watoto wao na raia wao kwa kodi kisa kuhudumia wapiga kelele. Acheni waende zao! tunawahitaji kwa lipi hasa! hakuna !
 

yapo 50 tu
 
Last edited by a moderator:
hizi sarakasi za kina Jussa & co. lengo lao ni kuvunja muungano wala sio serikali tatu!

mkiti wa kamati kauli zake zinachefua na wachangiaji wanatoa hoja kama wapo kijiweni. Hakuna cha kujifunza hakuna kufaidika. Poor jamii forums
 



Nguruvi3

Mkuu huyo hajasema kwa wazanzibar kasemea CCM na pia Tanganyika bajeti yake haijulikani na wala Tanganyika haipo ama unataka kunambia Tanzania ndio Tanganyika halafu mijitu mwengine bwana unatulipia gharama zipi na mshirika mwenza hayupo (Tanganyika) sisi tutajua nyinyi munachangia ngapi halafu TANZANIA NI LINI NA MWAKA GANI ILOTOA BAJETI YAKE YENYEWE BILA YA MSAADA KUTOKA KWA WAFADHILI mwenye ushahidi alete kujisifu kwingi sisi tunawasaidia tunawasaidia munatusaidia nini na walipa kodi wengi karibu ya wote ni sisi nyinyi wauzaji karanga na shanga barabarani na elimu na vyeti vyenu vya kuunga nyambaff kabisa.

Kuwa sawa katika wajumbe ni haki yetu si ombi musitugeuza yatima haki yetu mukaona kama munatugaia.


Fufueni Tanganyika halafu twambie tusije katika bunge sasa utakua huna adabu kutwambia tusije wakati mshirika mwenza kafa lakini marupurupu anachukua.


Tuwachieni Tupumue mtajua kama sisi kidogo bajeti ndogo ama sehemu ndogo ZNZ ILISTAARABIKA KABLA YA TANGANYIKA NA UWEZO WA KUFANYA HIVYO TENA TUNAO.
 



Mkuu


Naona ufahamu wako uko mbaali sana na sijui ulikua unapata ngapi form six ama form four HAKUNA KITU KINAITWA TANGANYIKA UNLESS UNAMBIE TANGANYIKA NDIO TANZANIA halafu me nataka kujua munatubeba wapi wakati bajeti ni ya msaada kwa tanzania siwafahamu ujuwe halafu sisi tunajulikana tunatoa ngapi jeee Tanganyika ilojificha inatoa ngapi
 

kiduchu angalau na kwa mbali naona mwangaza kutokana na mchango wako
 

siyo six wala 4 hiyo ni udom anayoitolea masimbulizi.
 

"machogo" ni akina nai hao!
 
Mwenyekiti wa kamati yako kasema hamtaweza kwasababu mapato yenu ni bilioni 240.

Hapo hakuna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, elimu ya juu achilia mbali mishahara na mambo mengine

Jiulize kwa bajeti ya znz ya bilioni 700 na mapato ya bilioni 240 pengo linazibwa na nani.

Nikuulize tume ya warioba mumechangia kiasi gani?
Bunge la katiba mtachangia kiasi gani.

Kelele kila siku mnanyonywa wakati ni kupe wakubwa.!
 

Link Warioba: Serikali ya Muungano haitakopa fedha - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
mwenyekiti wa hio kamati hebu na itafutwe hio cv yake ipimwe na kiwango cha elimu hasa kwenye uchumi. Kelele hizi zishakuwa nyingi na zishajibiwa na wengi tu, kuanzia general ulimwengu, warioba na wengi tu. hawa wengine kujikomba tu kwa faida zao wenyewe, wanashindwa kulipa hata umeme kwa wahusika wakati Zanzibar hakuna asielipishwa umeme, unaishia kwenye mifuko yao ya kampeni za ccm. unategemea aseme nini? Nchi ya watu milioni moja iungane na milioni arubaini halafu tuchangie sawa lakini wakati wa ruzuku kwa nini basi tusigawane sawa. formular za ccm hazina mashiko, kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu theory.. Ikiwa tutagawana mgao wa nusu kwa nusu kwa nini tushindwe kuchangia gharama sawa? na ikiwa hatuwezi kugawana ruzuku kwa nusu kwa nusu kwa sababu ya population kwa nini tuchangie nusu kwa nusu pia? Ati mwenyekiti wa kamati ya uchumi, elimu darasa la saba ulitegemea nini?
 
I am not a prophet of doom, but I have said before, this relationship is in the rocks and we will witness its end in few years!
Though it has persevered for 50 odd years, it was not built on firm socio economic and political foundation. Its survival depended on political will of its founders.
ila na sema, majuto ni mjukuu, waswahili walinena. Tukumbuke kila alichosema Mwalimu Nyerere huwa kina kuja tokea. Unfortunately watakaokuja kujuta ni generatiin ijayo na ambao itatulaani sisi kwa kutokuona matokeo ya maamuzi yetu AMA Yale ya jazba ( bara) au ya kitumwa ( visiwani)


Ni mtazamo tu
 
Kwani Warioba, Jenerali walisema nini?

Pili, umeme ni wa bure znz haijawahi kulipa. Kama kuna matatizo ni yenu sisi tunajua hiyo ni ruzuku mnayopata.
Wala si umeme, hata vijana wenu wanapata mikopo hata kama wana div 5 kwasababu tu ni wazanzibar.
Hawarudhidhi mikopo hiyo na wanapewa nafasi za Mtanganyika kwa vile tu ni raia bora za znz hata kama ni kwa gharama za kodi zetu na za watoto wetu.

Kijana wa Kitanganyika anasaga lami, hili si kosa lenu ni letu na tumeshalifanyia kazi.
Ndio maana tunawaeleza vijana wa kitanzania angalieni baba zenu wanalipia kodi kusomesha vijana wa nchi jirani yenye bendera, wimbo wa taifa na kila kitu isiyoweza kusomesha watu wake. Hamlioni hilo?

Tatu, wakati mnadai tume ya Warioba hamkuangalia population.
Mlisema ni nchi mbili huru zikae meza moja. Mkapewa wajumbe 15 bila nyongeza ama kupunguzwa.
Bunge la katiba mumetaka wajumbe sawa kwasababu ni wabia na hilo mumefanikiwa pia.

Mnataka rais wa Muungano awe kwa zamu, nafasi za ajira na utawala ziwe sawa. Hayo ni madai yenu.
Linapokuja suala la gharama mnaruka kimanga na kurudi katika population na eneo!
Hapo hakuna akili kwasababu unapodai haki unaidai jumla. Huwezi kudaia mafao usiyochangia huo ni ukupe na unyonyaji, mtaacha lini enyi wznz? Hivi nani alikuambieni mnatakiwa mpewe tu bila kuchangia!

Tunasema hivi muda wa kupitisha bakuli sasa basi, lazima mchangie si kudai nafasi za kazi na vyeo. Akili hiyo haifai katika karne hii. Kama humuwezi rudini katika znz ya ndovu na utumwa, manukato, kashata na piala za sultani. Miaka 50 sasa mnatakiwa mkue. Wekeni kitu mezani si kelele mipasho na majungu! aa !

Huwezi kutaka upewe kila kitu kwa mteremeko wakati wa kupanda unataka kudandia mgongoni.
Hakuna hata siku moja viongozi wanaofikiria kwa niaba ya wazanzibar wanongelea gharama. Hakuna!
Wanajua kuwa likija suala la gharama ni mwiba kwao. Mnachokiweza ni kuvizia ajira,vyeo baasi

Niambie lini umemsikia Maalim, Jusa au Ahmed akikokotoa namba za gharama.
Hilo hawalioni hata kwa bahati mbaya na ndio maana wznz hawaoni pia.

Ni ukweli kuwa mapato yenu hayawezi kuendesha wizara hata moja ya muungano.
Mfano aliotoa huyo mwenyekiti tumeshauweka JF siku nyingi.

Gharama za ulinzi na mambo ya ndani ni takribani 1.3 trillion. Mapato yenu ambayo hayatetegemea msaada wa Tanganyika hayafiki hata robo. Ukitaka kuchangia ni lazima znz itoe kila senti. Huo ni ukweli msiotaka kuusikia lakini ni ukweli.

Hatuwezi kuendelea kubeba watu migongoni wakicheza msewe na kunywa toga kisha kuporomosha mitusi.
This time around tumewaonyesha uongo wenu wa kufundishwa kuhusu kunyonywa halafu tutakaza uzi.
Hakuna msamaha kwasababu serikali 2 hazikubaliki tena. Tumechoka kubeba mizigo tunataka tupumue.

Mna hiari ya kwenda Dodoma au kukataa muungano ufikie hatima.
Mkienda Dodoma makao makuu yatakuwa hapo si michenzani na Tanganyika itakuwa Tanganyika wala haitalingana na znz kwa lolote kwa chochote. Tanganyika haiwahitaji, kwa lipi?

Mapato yenu ni bilioni 240 kasema mwenyekiti wa kamati ya fedha ya BLW. Hizo ni pesa za wizara hya elimu ya juu ambayo haipo katika mambo ya muungano lakini inatoa kwa SMZ tena kwa gharama za vijana wa Tanganyika.

TUACHENI TUPUMUE

 
Ni kweli unachokisema lakini pia tuangalie pande zote kwa undani. Tanganyika hawajawahi kuzungumzia kuhusu muungano ingawa wao ndio wameubeba na mzigo wake.

Ulimwengu umeanishwa kuwa Tanganyika yenye bajeti ya trillion zaidi ya 10 inaiba kutoka bilioni 240.
Tumesikia kelele za kutaka vyeo sawa, kila jambo wenzetu wanataka usawa. Ukisema gharama wanasema hizo ni za Mtanganyika, sasa hapo kuna muungano au kunyonyana tu.

Sisi tumewaeleza siku nyingi njia nyeupee wakitaka. Wamekimbia fursa zaidi ya 10 za kuvunja muungano. Na ya mwisho ni bunge la katiba. Utashangaa walikuwa Dodoma katika semina ya muungano ule ule wasioutaka.
Hatuwezi kuishi na watu wasiokuwa tayari kutoa bali kufikiria ajira na veyo.

Let it be, hatuna cha kupoteza na laana ya mzee itawatafuna maana sisi tumevumilia hadi tumechoka.
Hivi bilioni 240 unaenda kuiba nini, hilo si tusi kweli.

Waache waende znz ya ndovu na utumwa, znz iliyokuwa na umeme wa meli na TV za rangi. Znz ilitokuwa na makaimati barabarani na chupa za chai kila baada ya nyumba 10 nje. Waacheni wakaifuate neema.

Tuacheni tupumue, kha! eti tuibe biioni 240! tena si zote kha! huku si kumuibia mgonjwa! dhambi ya nini hiyo.
Let them go!
 
Hivi Tanzania tuliyonayo sasa hivi ndiyo Tanganyika naombeni kufahamishwa naona watu wanaitaja kwa bashasha Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…