Naunga mkono hoja ya Prof. Ibrahim Noor, kama kuna upotoshaji wowote wa historia ya Utumwa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, uliowekwa kwenye maandishi, then ukanushwe kwa research na maandishi.
Kuhusu utumwa Zanzibar, mimi nilisoma andiko hili
http://www.artsrn.ualberta.ca/amcdouga/Hist494_2014/readings/report slavery zanzibar 1895.pdf
Nikapandisha uzi huu.
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
Mpaka hapa ninapoandika, hakuna Mzanzibari, Mzanzibara, Mpemba, Mwarabu au mtu yoyote aliyekanusha andiko hilo.
Research inapanguliwa kwa research.
P