ZANZIBAR - CCM & CUF washerehekea ushidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZANZIBAR - CCM & CUF washerehekea ushidi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mgombezi, Nov 2, 2010.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida hapa UNGUJA wanachama wa CCM na CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushindi kwa pamoja. Wanachama wa CUF wanathibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa Wanzanzibari wote.
   
 2. emmathy

  emmathy Senior Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hiyo safi sana, wamedhihirisha maisha baada ya kupiga kura.
   
 3. K

  Konaball JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,767
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  na nyimbo zao CUF mlisema raisi awezi toka Pemba mbona huyu katoka CHOKOCHO
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  PEMBA (CUF) IMESHINDA.

  RAIS NA MAKAMU WA KWANZA WANATOKA PEMBA. BUSARA ZA SEIF ZIMESAIDIA, ANGEKATAA MATOKEO SAA HIZI TUNGEKUWA TUNA MISIBA SI CHINI YA 100.

  BRAVO SEIF, KWA KUFUNIKA KOMBE ILI MWANAHARAMU APITE. MUNGU ATAKUZAWADIA MEMA MBINGUNI. URAIS NINI BWANA?:yield:
   
Loading...