Elections 2010 ZANZIBAR - CCM & CUF washerehekea ushidi

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Katika hali isiyo ya kawaida hapa UNGUJA wanachama wa CCM na CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushindi kwa pamoja. Wanachama wa CUF wanathibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa Wanzanzibari wote.
 
na nyimbo zao CUF mlisema raisi awezi toka Pemba mbona huyu katoka CHOKOCHO
 
PEMBA (CUF) IMESHINDA.

RAIS NA MAKAMU WA KWANZA WANATOKA PEMBA. BUSARA ZA SEIF ZIMESAIDIA, ANGEKATAA MATOKEO SAA HIZI TUNGEKUWA TUNA MISIBA SI CHINI YA 100.

BRAVO SEIF, KWA KUFUNIKA KOMBE ILI MWANAHARAMU APITE. MUNGU ATAKUZAWADIA MEMA MBINGUNI. URAIS NINI BWANA?:yield:
 
Back
Top Bottom