Tumechokana sote na mke na mume kwa kukaa pmj huchokana ila maisha yao huendeshwa na kuvumilian tu lkn wakitafakari wakiangalia jirani walivo achana na kusambaratika familia zao ndio huona umuhim kuendelea kukaa pamoja km umechoka muungano hama tzn katafute nchi isokua na muungano uishi