Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

Kula matunda ya Mwungano hayo. Magufuli alisema nchi ina hela nyingi tu. Huyu maa anadanganya watu wa Bara. She is not from this side, she doesn’t care. Miaka 15 ijayo ya upumbafu mtupu. Mwungano, we end up with morons!!
Huyu huyu aliyekua anaita waandishi wa habari mubashara kutuonyesha akipokea magawio (profits) kumbe hamna kitu au Mimi nilikua naona tofauti
 
Ni kweli!
Z'bar wanadeka! Kuna wizara kadhaa siyo za muungano ambazo tuna mawaziri wa-zenj bila sababu! Tuna shida ya ajira, unakuta mtu toka zenj anaajiliwa bara lakini hakuna mtu wa bara anaajiliwa Zbar!

Hili la Makato ya miamala haifai kabisa! yaani maskini wa bara ndo anakatwa halafu pesa zitumike Zbar, tena kusimamiwa na rais mzanzibari!
Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha Z'bar 2021/22
1629026458958.png



Japokuwa ni wizara ya nchi ofisi ya Rais wa Zanzibar ila unaona namna gani wao suala la bajeti ni kukidhi mahitaji ya Wazanzibar.

Well, ngoja tuone twaendaje pale ambapo wenzetu wana nafasi kule visiwani na huku bara;
 
Navojua mimi mitandao yote ya simu yanatoa huduma sawa nchi nzima yaani bara mpaka visiwani huko zanzibar inaoperate kama inavooperate kule kigoma na katavi
Hujui kwamba Zanzibar wana shirika lao la simu!!..hujui kwamba Zantel ni serikali ya Zanzibar na mbia (Tigo) (Etisalat)..hujui kwamba sheria za Tozo za ushuru na mambo mengine Zanzibar inajiamulia yenyewe (Baraza la wakilishi Zanzibar)
 
Tunaomba majibu sahihi na ya wazi ya mleta mada sisi. Kwa sababu hatutaki kupelekeshwa kuonyeshwa ubaya wa Mama katika uongozi wakati nitafsiri potofu za wasiomtakia mema.
 
Kabla hamjampaka SAMIA tope jiulizeni nyie Wananchi mmefanya nini kupinga maamuzi ya watawala.

Tena hizo tozo azidieshe hata Mara 3,maana we are all stupid.
Kwa hiyo unatenganisha Samia na watawala? Huyu ni rais hoi! Uzoefu sifuri, maono sifuri.
Hadi sasa hatuwezi hata kumkosoa juu ya sera za nchi maana hakuna lolote aliloonesha muelekeo. Bado ni serikali ya jongoo kama ile ya JK. Sera ni urafiki na kusifiwa.
 
Bunge lililopitisha ni Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,linajuisha kote bara na visiwani...huo ndo ukweli
fahamu kwamba sio sheria zote zinazopitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania zinafanya kazi Zanzibar
 
Kwa hili tunataka jawabu toka kwa yule mwenye PhD ya uchumi wa Singida. Yaani tunakatwa kujiendeleza, Z'bar wanaendelezwa na kodi zetu!
 
Kwa hili tunataka jawabu toka kwa yule mwenye PhD ya uchumi wa Singida. Yaani tunakatwa kujiendeleza, Z'bar wanaendelezwa na kodi zetu!
Yaani Mwigulu Nchemba? Kwani hiyo Ph.D inajionesha kweli au ni kijana tu wa digrii ya kwanza bila uzoefu?
 
Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Zbar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z.bar.

Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama hakuna, kwa nini makato ya bara yapelekwe Z'bar?
Kuna haja ya kueleza maana ya Taifa. Ni Tanganyika peke yake au na Zbar? Kwa nini rais atoke ZBar, halafu tozo walipe Tanganyika peke yao?
 
Back
Top Bottom