Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,329
- 289,343
Hata usipomuunga mkono Mnangagwa haitasaidia kitu....binafsi namuunga mkono Chamissa ...
Ataanguka vibaya sana ! baada ya kuitembelea nchi ya kidikteta ya Tanzania Wazimbabwe wamemdharau sana !Hata usipomuunga mkono Mnangagwa haitasaidia kitu.
kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchiB.V.R machines hazijakodishwa kutoka huku? na ule mfumo mzima wa utoaji matokea kwa kauli moja kama aliyokuwa akiitumia mwenyekiti wa uchuguzi kutoka huku Bw Lubuva?
"Natoa matokeo kwa kadri ninavyo yapokea" kauli ambayo ukiichunguza ndani yake ilibeba ujumbe mzito
kuwa hata kama yakichakachuliwa kabla hajanifikia mimi kazi yangu ni kutangaza tu
Hakuna wazungusha mikono kule.Ataanguka vibaya sana ! baada ya kuitembelea nchi ya kidikteta ya Tanzania Wazimbabwe wamemdharau sana !
uko zamu leo ? karibu hapa Kempisk tunatafuna maji taratibu , ukiwa na hela raha sanaHakuna wazungusha mikono kule.
Subirini nakuja.uko zamu leo ? karibu hapa Kempisk tunatafuna maji taratibu , ukiwa na hela raha sana
anapumulia mashine mkuumhh jamaa atashnda kwa njia yoyote ile, ilikuwa ni ndoto yake kuja kuwa rais after mugabe
aisee basi lazima watavuruga tu nakwambia, ila kazi wanayo coz nackia mzee naye haja give up so cjui yeye anashambulia tokea winga gani ila yote heri tu la msingi na la maana ushndi upatkane tuanapumulia mashine mkuu
Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu
Yuko maendeo ya kabila LA Mandebele ambao in ngome ya MDC, uchguzi wa Zimbabwe umejawa na ukabila ZANU-PF watashinda Washona watakibeba chama chaoNimeona news France 24,,jamaa yuko anapiga kampeni watu wachache ,nilichoshangaa wengi wazungu na wamevaa nguo/kofia na skafu za ZANU - PF
Washona ni wengi ?chama kongwe kipo ktk wakati mgumuYuko maendeo ya kabila LA Mandebele ambao in ngome ya MDC, uchguzi wa Zimbabwe umejawa na ukabila ZANU-PF watashinda Washona watakibeba chama chao
Yule mzee hana tofauti na Dr. Slaa hivi sasa kakosa hata msimamo. Kampeni zake sasa kujipendekeza kwa wazungu ili tu wamuwezeshe mavumbaTaarifa kutoka Zimbabwe zinaonyesha kwamba chama kikongwe cha ZANU - PF na mgombea wake Mnangwaga , aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi wana hali mbaya mno , mgombea huyo kikongwe anayetajwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 75 hakubaliki kabisa na wananchi wa Zimbabwe , ambao chaguo lao ni kijana Chamissa anayewakilisha MDC
Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu , binafsi namuunga mkono Chamissa .
Mungu ibariki Zimbabwe
Waafrika wakichafue wazungu wakimbie wote. Wazungu wapo Zimbabwe kwa faida yao na sio kwamba wanaipenda iyo Zimbabwe {South Rhodesia} ¶¶¶¶∆Nimeona news France 24,,jamaa yuko anapiga kampeni watu wachache ,nilichoshangaa wengi wazungu na wamevaa nguo/kofia na skafu za ZANU - PF
Ile ziara ya Mnangagwa Tanzania ilikuwa na kazi kubwa sana kuelekea uchaguzi huu.B.V.R machines hazijakodishwa kutoka huku? na ule mfumo mzima wa utoaji matokea kwa kauli moja kama aliyokuwa akiitumia mwenyekiti wa uchuguzi kutoka huku Bw Lubuva?
"Natoa matokeo kwa kadri ninavyo yapokea" kauli ambayo ukiichunguza ndani yake ilibeba ujumbe mzito
kuwa hata kama yakichakachuliwa kabla hajanifikia mimi kazi yangu ni kutangaza tu
miaka nenda rudi tulisikia ukandamizwaji huko zimbabwe tena ukfanywa na viongozi kushirikiana na polisi... wenzetu hasa jeshi linapo kuwa haliuitaji uongozi fulani ili lisionekane limefanya mambo ya uhasi kama kule syria na uturuki... huku huwa lina tengeneza chuki baina ya raia na viongozi... mf. kule misri, tunisia nk kwa kutembeza kipigo kikali kwa raia na hata kuua pia, ili mradi tu raia wawe na chuki zidi ya utawala uliopo na jeshi liweze kuchukua nchi kirahisi sana bila doubt na ndicho kilicho fanyika hata zimbabwe...kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
Anayetakiwa kuulizwa swali hili ni Mnangwaga mwenyewe aliyewapigia magoti hao wazungu unaowaita wachachewazungu wachache wenye mashamba wakimuunga mkono itamsaidiaje kwenye jamii ya majority wasio na kitu? rudia presentation na uchambuzi, hapa ni JF