jamani msaada wenu kitu cha muhimu, nimekuwa natumia modem ya zantel nikiwa morogoro muda wote, lakini toka nifike dar na maeneo mengine kila ni connect naletewa error 777, eti device is either not connected, nimewapigia zantel mara ooooh komputa yako imejaa, nimefuta vitu vingi bila mafanikio, nikaihamishia computer nyingine bado haiconnect, mara oooh badili chomeka port nyingine lkn hamna kitu, jamani niokoeni kijana mwenzenu ili nienjoy nami, je tatizo ni nn?
airtell ndio watamu

Lakini airtel hiyo speed kichaaaaunangoja nini sasa? hamia gari kubwa! hamia airtel! kwa sh.2500 unapata 400MB kwa mwezi mzima!
hapo itakuwa tatizo lingine,mi mbona nipo mtongani naitumia vizuri tu?kweli kabisa, jana nipo arusha ila jana nimemtuma jamaa aende nayo makao makuu ya zantel, kawambiwa eti yawezekana nilipo hamna hiyo huduma, sasa nitafanyaje? je na mtoni mtongani napo ilizingua, je hadi mtoni mtongani dar