Zantel iko ICU?

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
Wafanyakazi wa Zantel kitengo cha Customer Care 'waliouzwa' kinyemela kwa kampuni nyingine hawajalipwa kwa miezi 2 sasa. Haijulikani kama sababu ya mwajiri mpya kushindwa kuwalipa ni kutokana na yeye kutolipwa na Zantel kwa kipindi hicho, ambya ni dalili kwamba Zantel iko ICU. Vinginevyo kikawaida kabisa, Zantel ingewalipa halafu ikamalizana na jamaa mpya.

Wenye sim card za Zantel anzeni kutafuta alternatives mapema.
 
Back
Top Bottom