sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
Nimeiona kwenye web (Find your Rhythm) yao hii kitu leo maana ni mda mrefu sana net ya zantel niliikacha..sasa nnachojiuliza waungwana...wameweka 20,000/= kwa siku tatu unlimited....naomba kujuzwa kwa wale wanaotumia whats the advantage over 10,000/= for 7days ya voda ambayo mi ndo huwa naitumia mara kwa mara...?? ni kweli ina speed kali kiac cha kuweka bei hiyo au....!!??