Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Hizi hesabu hazifanyi kazi nje ya ccm, ni hesabu ndani ya ccm. Nje kuna CHADEMA, ligi ipo palepale, kumnadi mgombea wao mpya itakuwa shughuli pevu hata kama ni kijana gen z. mifumo ya ccm wananchi hawaitaki, wanataka mabadiliko sio mtu mpya
 
Kwa Mwigulu kupangua hizi hesabu ndani ya chama chake ni shughuli pevu, kawahiwa mapema, hata akichukua fomu hatapitishwa labda system imbebe. Hizo hesabu uwezokano wa kuzipangua upo kama mizizi yake itang'olewa mapema
 
Sema ni mawazo, za ndani wapi
 
Madelu kakutuma sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…