Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,169
- 166,133
Hawa ni askari wa Malawi wakifanya mazoezi kwenye mwambao wa ziwa Nyasa.
Hizi bunduki zao mi naziona kama zile amabazo polisi wetu wanalindia mabenki.
Wee acha dharau na bunduki mkuu hayo manati ya wazungu ni noma jamani.
Kabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa.
Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.
kama ni hivi naimani tushalipoteza ziwa,mana huyu wa kwetu kabla hajapigwa anadondoka mwenyewe,Akikatwa hata kibao ki1 ana... hapohapoKabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa. Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.
Hawa ni askari wa Malawi wakifanya mazoezi kwenye mwambao wa ziwa Nyasa.
Hizi bunduki zao mi naziona kama zile amabazo polisi wetu wanalindia mabenki.
sasa wao wanataka ugomvi wa nini kama chakula tu kwao ni mzozo?