Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Hii ni karne ya 21 maisha ni kusaidiana na hii inahusisha ulezi pia...Inamaana hujui kama baba akilea mtoto anaongeza ukaribu na mapenzi kwa mwanawe!!!!Wewe binti, Afrika hatufanyi hivyo! Sio issue ya mtoto kuwa wetu sote, kuna mambo mengi yanatazamwa katika kumlea mtoto, bila kusahau mila (zisiwe kandamizi)