loooool!!.......hadi raha jaman
safi sanaaaa!
mnapenda tukiwa mayaya?
limbwata hilo siyo buree
...mara moja moja si mbaya jamani
Utawajua tu wanaocheza na mtoto akitoka kuogeshwa akavalishwa nguo safi,akijichafua tu mtoto anaambiwa nenda kwa mama
loooool!!.......hadi raha jaman
Mwanaume abebagi mtoto hivyo,huo ni ubwege.
ankara tutafute saa ngapi?????
ankara tutafute saa ngapi?????
Unata kusema we unafanya kazi kama kalenda?
Eti ankara!!!
Mngekuwa hamuwaambii kina mama wafanye maarifa every now and then,yenu mnataka kusaidiwa yetu tufanye wenyewe fully inahuu?
kabisaaaaa.....mtoto si wetu sote....
Mwanaume abebagi mtoto hivyo,huo ni ubwege.