Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

Jamani mtu anisaidie kujua kosa la huyu dada.....mbona anapondwa hivi?au ana damu ya kunguni?maana mi namuona yuko sawa tu....na hata kama amebebwa basi naye kajibeba haswaaa!

watu wana chuki binafsi tu,huyu mdada sio mbaya kama watu wanavyosema
 
...Thread imekosa Maana. Post ya 43 hii sasa lakini hakuna yeyote ambaye ameleta Picha ya Mzungumzwaji ili sisi tusiomjua nasi Tukapata nafasi ya kuamua Uzuri ama Ubaya wa macho yake. Kibaya zaidi ni kuwa hata Mleta thread ameshindwa kufanya hivyo na hivyo kusababisha tuwe tunadiscuss giza kwa Post 42!! Surely, as Supposedly-Great Thinkers we can do Better?? :mmph:
 
Hivi pale Ruge atakua alipendea nini?
Demu mwenyewe hata pa kushika hamna, analazimisha Cat-Walk mpaka anataka kudondoka.

Zamaradi mbona mzuri sana jamani,Ruge uwa habakui hachagui yoyote twende tu ilimladi uwe na K
 
yea mkuu,,vimeno vyake vimeachana achana sana bas akicheka anavifunika na mkono kimtindo...ushawai ona miguu yake? km stendi za kamera

duh.!!!!

kuna watu mnamatusi ya rejareja.....hii kali mno!!
 

Sijakuelewa....kwani ulitaka awe vipi ?

Labda uniambie unapomuangalia Mzee Samadu Hassan au Rainfred Masako au Deo Rweyunga unataka wakuvutie na nini ili uwasiklize/uwaangalie ?
 
Jamani mwenye picha yake tafadhali atuwekee maana wengine tunashindwa kukomenti bila kumuona kwa picha.
 
mmh angekuwa na msimamo angezaa na bosi wake jaman! hana lolote attention seeker kama hao wengine tu ajipange.

Mambo mengine sio ya kuhoji......hivi wewe ulichagua kuwa ili uzaliwe mama yako asikae (nimetumia tafsida) na muendesha boda boda.

Epukeni kuongea mengine kwani yanamuudhi hata Mungu.....ukizaliwa unawakubali wazazi wote uliowakuta.

Kumbuka Mungu hashindwi na lolote, anaweza kukuadhibu na kutuonyesha umma jinsi ulivyopatikana ndani ya gari maza wako akiwa nduki (najaribu ku gues tu)...any way kuna mambo hayana nidhamu ya kiutu/kibinaadamu kuhoji wakati tayari kuna mtoto ameshatokea....iwe kuna ukweli au la.
 
Asiyeumba haumbui kamwe nawashangaa sana mnaosema mbaya, na kabda hujafa hujaumbika mleta mada hata wewe hujakamilika.zama ni mzuri na kipindi chake anakipatia.
 

yaani hata wewe unayeshinda na mabomu na risasi mashariki ya kongo bado unaogopa macho ya Zamaradi? acha kumuonea mtoto wa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…