Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Wameanza kuleta vyumaa

Naona wengi wapo njiani
Hii TV/radio itakua moto Sana'a maana naona kuna mikono ya mabilionea hapo kina SUHAIL MUZAMIL,MZUNGU WA HARMONIZE,KINA KINJE,MAKONDA,BAADHI YA MAWAZIRI N MADONI KIBAO


SIFA %(Percent) yako ya uwekezaji tu

Chuma kipi hapo zamaradi au?

Huyu zamaradi ana uchumangani katika utangazaji?

Wakimpata LyliOmmy watakuw wamelamba Dume ase

Lil ommy?? Hivi tunaangalia vigezo gani mpaka tumuite mtu mtangazaji mzuri au zile swagga za kurembua kama mchicha mwiba

Na SkyWalker(fredrick Bundala)

Yes maaamen hawa ndo ma-presenter sasa na hakuna mtu atakaa am-mention huyu jamaa ndo bonge la Dude mzee

Kuna dee Andy na king smash pia

De-andy ana nini cha ziada au zile kelele zake
 
Hata efm ilianza kwa kishindo sana na gharama kubwa ila sasa imetulizwa, cha msingi atafute watangazaji amabao hawana ajira ambao watafanya kazi kwa weledi hao wakongwe awaajiri wachache wa kumpa mawazo na muongozo ili kuepusha watangazaji kuondoka kisa wanamajina makubwa
Wewe ndio umeandika kitu sahihi kbs ,afanyie kazi hili Wazo lako
 
Zamaradi asijivune leo watoto bado wadogo wakikua atajuta kuwazaa. Watamuuliza kwa nini ulimnyanyasa baba yetu. Time will tell..
Huku kukurupuka bila kuwaza kuna madhara yake mbele ya safari....
Na diamond ndio anaelekea kuporomoka,dharau anazomfanyia ruge ipo siku atakumbuka alipotolewa
 
Wameanza kuleta vyumaa

Naona wengi wapo njiani
Hii TV/radio itakua moto Sana'a maana naona kuna mikono ya mabilionea hapo kina SUHAIL MUZAMIL,MZUNGU WA HARMONIZE,KINA KINJE,MAKONDA,BAADHI YA MAWAZIRI N MADONI KIBAO


SIFA %(Percent) yako ya uwekezaji tu
Mkuu kama uliowataja ndio wako nyuma ya pazia basi hyo TV/RADIO haita kuwa na maisha marefu.
Sababu yaonyesha imeibuka kutokana na utawala flani uliopo nasio ubunifu.
Huu utawala ukipita muda wake na yenyewe ndio kwaheri. Huo ndio mtazamo wangu
 
kama zama anatumika kuihujumu clouds namshauri ajitafakari upya. ....maana mali ya ruge ni mali ya watoto wake pia.....
aki loose ruge wameloose watoto wake....
mond na genge lake hawana cha kupoteza!

Ruge hana anachomiliki clouds ni mpita njia tu kama Zama.
 
Wamempiga Ruge panapouma.

Ila na hii gear waliyoingia nayo wakifail halafu clouds ikaendelea kama kawaida wataaibika sana na itakuwa anguko la mziki wa wasafi,the have to make sure hawachemki
Umeona mbali sana mzee!!
 
Zamaradi asijivune leo watoto bado wadogo wakikua atajuta kuwazaa. Watamuuliza kwa nini ulimnyanyasa baba yetu. Time will tell..
Huku kukurupuka bila kuwaza kuna madhara yake mbele ya safari....
Hata mi huwa naona mwisho wa siku Zama hataweza kufanikiwa kama alivyofikiri. Ni kweli yalikuwa maamuzi ya hasira. Nisilojua ni jinsi gani anaendelea bila Ruge. Hata kama alifkiri Ruge hakuwa na mapenzi naye mi nafikiri huko alikokwenda ndo kaingia cha kike. Sina imani kwamba yule kijana amemuoa kwa upendo wa dhati. Naona alitafuta fursa ya kutokea kimaisha na hawezi kuwa vizuri na Zama. Ndo hapo Zama atagundua bora angekaa kwa Ruge.
 
Ruge yuko smart na ana uelewa mkubwa. Sidhani kama hao watamuweza.
Yaani kitu kirahisi tu cha kutumia OBS software wanashindwa. Baada ya kuungua ofisi yao wanashindwa kupaka rangi ya kijani na kutumia OBS software!? Hata kuweka nguo ya rangi ya kijani wanashindwa? Clouds Media ni sehemu ya kupika majungu tu. Hakuna innovation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom