Huyo mtoto mwenyewe aliyenaye kumtunza ni shida sasa huyo wa kuasili je.
Jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
Mbona umestuka madamee...au kwa sababu kataja mambo yako asubuhi asubuhi....
Kama ulikuwepo.....asubuhi yote hii hata riziki hatujazikamata tunaanza kusoma haya, aisee.
Pole madam...msamehe bure....
Huyo mtoto mwenyewe aliyenaye kumtunza ni shida sasa huyo wa kuasili je.[/
Baba watoto Boss Ruge anahudumia mtoto wake mbona..ila Ruge ni noma khaaa...!!kila mtu na mikato yako..mie walaa..!!
Huyo mtoto mwenyewe aliyenaye kumtunza ni shida sasa huyo wa kuasili je.[/
Baba watoto Boss Ruge anahudumia mtoto wake mbona..ila Ruge ni noma khaaa...!!kila mtu na mikato yako..mie walaa..!!
Ruge analea mtoto wake, huyo anayetak kumlea zamarad ataweza? Kwa pesa ipi ya utangazaj? Labda aseme mimi na hawar yangu tunatak kuasili mtoto ila sio yeye karubandika
Kwanini watu mnapinga kila jambo? Muacheni amuasili, akishindwa kumlea basi ndio mumhukumu! Tusiwe too much negative wakuu!
Pesa zipi ambazo hana? Anafanya kazi halafu asiwe na pesa za kuwatunza watoto wawili? Wewe kwenu mmezaliwa wangapu na wazazi wako walikuwa matajiri kiasi mpaka wakulee? Ndg zanguni wapi watoto yatima wengi sn wanaotamani kuishi bt Huyo maisha ya chini ya kula vitumbua na chapati, tuwaunge mkono mioyo ya upendo wanaotaka kusaidia wengineHana pesaa wewee
Kwani ''KUASILI'' mtoto maana yake nini???
Naona wengi mmeelewa humu kasoro mimi tu.....
Hana pesaa wewee