Miaka ya nyuma uongo ulikua mwingi jamani, yaani mtu alikua na uwezo WA kutunga jambo la uongo mpaka likawa la ukweli, ILA kwasasa inahitaji nguvu nyingi Sana kudanganya, mfano tulikua tunadanganywa kua, nyerere alikua na mtambo wake huo ambao ukimtaja Tu unasikika mpaka ikulu, basi watu wakawa wanaogopa hata kumzungumzia vibaya wasisikike, nimemiss Sana miaka hiyo..