Zamani na sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zamani na sasa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mndengereko, Oct 23, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  zamani ukioa mwanaamke usipomkuta na bikra unashangaa sasa hivi ukiomuoa mwanamke ukimkuta na bikra unashangaa,
  nilikuwa sijui hii post niiweke jukwaa lipi ila kwa sababu nimeanza na mapenzi nahisi sio mbaya ikiwa jukwaa hili tiririka mengine unayoyajua kati ya zamani na sasa....
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  We umeoa zaman au sasa?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Zamani ni kuanzia miaka gani?
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Saivi mambo ni KUJINAFASI na KUENJOY, FULL KUONESHANA MAUJUZIIII! Hayo mambo ya zamani ya UTICHA WA MALOVEE tushawakabidhi bibi zetu wayarudishe mbele za haki, maana haki yenyewe ishatowekaga LONGI!!!! Sahivi natafuta mume mjumvi wa mambo haswaaaaaa! So that every night HE CAN SURPRISE ME!!!!!!!! Kila siku kama mpyaaaa!

  Mtu hata nikichakachua na kucheza ugenini namuona kocha wa ugenini BADOOO SANAAAAA, ukimlinganisha na wa siku zote. Mambo raha yake wote muyajue atiiiii! GAME VIWANGO VYA UEFA CHAMPIONS LEAGUE!!!!!!!!!! Vitu XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXL.

  (Caution: Dont try this at Home)
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  we lara 1hebu njoo huku, naona tunapatana/tunafanana kwa mengi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  zamani ulikuwepo?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  enzi za zinjatropas na zamadamu?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hapo ndo na mie ninapopashangaa......
   
 9. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Ndo hapo chaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  zamani ukimtaka mwanamke unamwambia nenda kasome kwenye ukuta ule akienda anakluta umeandika nakupenda
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bikra ipi unayoizungumzia mkuu??
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kuna kijana kaniambia majuzi (nishajizeekea mie) kuwa zamani ilikuwa inabidi uvue chupi ya binti ili uone masaburi yake lakini siku hizi inabidi upanue masaburi ili uone chupi!
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Acheni hizo nyie wadada! Nina uhakika 100% mnajua alichomaanisha mdau.
   
 14. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Habari za manzese kwa mkata kimeo,vipi raisi wenu madii hajambo?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Afu mbona wewe miguu yako kama zamadamu???

  Utakuwa una tabia nzuri

   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Virginity is overrated.
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Zamadamu? Sijui maana yake, ila kwa kuwa imetoka kwako Kongosho sidhani ni complement hii. Lazima itakuwa za uso hii!
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ujue siku hizi mtu akikupiga za uso kakuheshimu??

  Kuna watu wanawapa wanamme za makalio :bowl:, hebu fikiria

  Ile ni komplementi kabisa

   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Duuuh! Yaani za masaburi???!!!! Hii nayo mpya!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mbona ya kitambo sana?

   
Loading...