Zamani mwalimu alikuwa anaheshimika

Zamani mwalimu alikuwa anaheshimika

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
upload_2016-9-29_21-12-24.png
 
Hyo kazi nimeikataa but Nashukuru Waalimu wangu kwa kunisadia sana. Mpaka Group la Whatsapp letu la Primary School tume mu Add Mwalimu wetu anatupa skills za maisha
 
Mwalimu enzi hizo alikuwa mwalimu kweli lakini leo hii mpaka walimu hewa walimu wa mwendokasi wanapatikana unategemea nani awathamini
 
Walimu kutembea na watoto wa shule pia imepunguza thamani zao. Hawaaminiki na jamii
 
Nimecheka vibaya mno..... ticha mbwembwe sasa duuuuh
 
Nyakati zimebadirika aisee,zamani walimu walikuwa kioo,watoto wao walikuwa ndiyo mfano,lkn walimu wa sasa kufanya ngono na wanafunzi wao Ni kawaida...
 
Walimu kutembea na watoto wa shule pia imepunguza thamani zao. Hawaaminiki na jamii
Hio ni hurka ya mtu tu,na issue ni serkali .serkali ikiwa inafta taratibu za kuinroll walimu sidhani kama **** mwl ataalingi kwenye kada ya ualimu aanzd kutia watoto.sasa hivi kuna watu ni walim wamekuja tu kusomea UALIMU kw sabb kuna mkopo what do you expect?
 
Upo sahihi mkuu. Wengine wamekuwa walimu baada ya kufeli form 4
 
Back
Top Bottom