Zamani mavazi yalitambulisha jinsia (Wanawake haswa)

We acha tu nilishawahi kukutana na mmoja kavaa shati tu imeishia kwenye mapaja chini sijaona alichovaa labda Kama alikua na chupi nayo Sina uhakika
Hawa watu hawajitambui Mbaya zaidi wamekosa dira hawaelewi wanapoelekea wakuwasaidia ni sisi wanaume tu maana ni vipofu waliokataa msaada.
 
Miaka ya 1800 ilikuwa ni suala la ajabu Sana mwanamke akionekana kuvaa suruali ila ilipoingia feminism meza ikapinduliwa.
Kazi unayo huko uliko,Yaani kama nakuona bundle linavyokuishia unaunga tena ili kuja kuwananga wanawake wa mwaka 2023........unazungumzia miaka ya 1800 kwanza ulikuwepo?nani alikusimulia?unawajua malaya wa enzi hizo walikuwaje?unawajua vibaka wa hiyo miaka walikuwa wanavaaje?unazungumzia mwaka 1800 zama za kipindi hicho kweli utacompare na zama za 2000s Hebu kwanza kuwa serious basi,wewe kama mwanamke wako hakupi heshima unayoitaka acha kulazimisha kila mwanamke aonekane hana adabu kwa mumewe eti sababu ya mavazi na huku haohao unaowapigia debe ndio waletaji wazuri na furaha yao ni kuona tuko ndani ya hayo mavazi we pambana man jinamizi lako aiseee
 
Hawa watu hawajitambui Mbaya zaidi wamekosa dira hawaelewi wanapoelekea wakuwasaidia ni sisi wanaume tu maana ni vipofu waliokataa msaada.
Tumekaa dira tuliwahi kuja kukuomba msaada kwamba tumepotea?since when where?kila mtu ana mahangaiko ya maisha Kila mtu anamvurigiko wa siku sio mwanaume sio mwanamke sasa tukisema Kila mtu alete humu mzee tutatafutana narudia tena komaa na jinamizi lako kama halikuheshimu ni lenyewe na usipoangalia siku sio nyingi litakumaliza kabisa likutoe duniani
 
Hawa watu hawajitambui Mbaya zaidi wamekosa dira hawaelewi wanapoelekea wakuwasaidia ni sisi wanaume tu maana ni vipofu waliokataa msaada.
Wanaume wapi unawazungumzia labda nyie wapiga mizinga,?most of you mnadharaulika sababu hamjitambui,mmewaachia majukumu wake zenu wafanye sasa kwa nini asikugeuze mke na yeye awe mwanaume si umetaka kulelewa bhana we kula mema ya nchi acha mkeo akakutafutie
 
Siku hizi wanaume wengi wanavaa chupi za mademu zao au magauni wakiwa maghetoni mwao. Wanaanza kama utani then mwishoni utasikia siku hii fulani kawa Anti Muddy.
 
Back
Top Bottom