Walioanzisha feminism na misemo ya kijinga kama “What a man can do a woman can do so” wameharibu na kuvuruga mpangilio wa majukumu Kwa Kila jinsia.Wamebadili wanawake kuwa wanaume fake.
Hawa wanawake wangetamani Sana wanaume wawasaidie kubeba MIMBA kama ingekuwa ni jambo linalowezakana lakini nashukuru hicho kitu hakipo.
Mwanamke anafanya kazi ya udereva wa mabasi ya mikoa Kwa dai la kutafuta riziki ni NONSENSE huyu mwanamke kwanza hapati muda wa kukaa na watoto wake kuwalea,hajui Wala kuonesha mapenzi Kwa mume wake sababu Kila siku akirudi kutoka kazini amechoka, hajui kupika hajawahi mfulia mume wake nguo muda mwingi watoto hawamwoni mama.
Na mume wake pia anafanya kazi na kumhudumia familia na yeye.Wanawake wamekuwa malimbukeni wanaendeshwa na hisia na mihemko kuwa Dereva wa basi la mkoa au malori wakati mume wako anakuhudumia pamoja na familia yote Ina maana gani sasa? Feminism imegeuza wanawake kuwa wanaume Fake.
Baada ya kufaulu hilo wanapigia debe ushoga Ili wanaume wengi wawe wanawake huwezi ukawa unakojolewa then uwe smart kichwani, key points ni kutengeneza Jamii isiyoweza kujua mema na mabaya Ili kuuteka ulimwengu, chini ya umiliki wao.