Zamani ilikua poa sana

Zamani ilikua poa sana

Semaaa hilii bado lipoo....kunaa baadhi ya wanandoa wakifikisha umri fulalani 60+... kila mtu anakuwa analala chumba chake...au chumba kimoja vitanda tofauti
 
Unazani malezi bora nikukumbatia watoto ambao hata hawajui chochote wala lolote? Malezi ya mtoto yanaanzia anapoanza kuongea kwa ufasaha anaanza kujifunza yale anayoyaona na kuambiwa mfano matusi, kusalimia watu, kuheshimu na yeye anakuwa mdadisi wa kuhoji
Ndio maana watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa, hawajaonja malezi bora? haa
 
wazungu ndo wanafanya hivyooo... kibongobongo si utakuta mtoto mikono imeliwa na panya [emoji23]
Sky kuna siku alitangaza hapa kuwa mtoto mdogo anatakiwa kulala chumba cha mbali huko na awekewe radio call ili akilia asikike kwenye chumba cha Baba na Mama huko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom