Zamani ilikua poa sana

Zamani ilikua poa sana

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Mke na mume walikua hawalali chumba kimoja.

Mke alikua ana lala na watoto hadi watimize miaka 3 ndio anawatimua.

Chumba cha Mzee(mume) kilikua ni maalum, mtoto haruhusiwi kulala wala kukaa humo.

Mke alikua analala chumba cha mume kama tuu siku hiyo ana ratiba na mumewe.

Kwa namna yoyote ile mume alikua haruhusiwi kulala chumba cha mke.

Siku hizi watoto hata hawajui joto la mama zao, akiwa na miezi 1 anatengewa kitanda chake , na baada ya miezi 8 anaanza kulala na house girl .
 
Yani nioe mke af nisilale nae????
Haiwezekani kabisa yaniii. Yani hata kama nimechoka sina hamu ya kupiga mashine, basi napachika ndonga kwenye K, nalala hadi asubuhi

Ya maisha ndo ivo hadi tuzeeke
 
watoto vs mbunye
hahahahhh nachagua mbunye mie
 
Mtoto anakuhitaji wewe na wewe unahitaji mume.

Ungejua ile kulala vyumba tofauti ilikua inaleta hamu ya mambo, na mwanamke alikua anafuata mume kwa hiyari yake. Habari za nimechoka sijui sijisikii hazikuwepo.

Siwezi acha kumbatia mme mimi,usiku ulivyo mrefu hivyo
 
Mtoto anakuhitaji wewe na wewe unahitaji mume.

Ungejua ile kulala vyumba tofauti ilikua inaleta hamu ya mambo, na mwanamke alikua anafuata mume kwa hiyari yake. Habari za nimechoka sijui sijisikii hazikuwepo.
Wanaochoka ni wao mi napenda kukumbatiwa kila siku sichokiii

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
acha uongo, siku zote unavisingizio..
 
Kila mmoja alikuwa na ndoto kichwani mwake atakuwa na familia ya aina gani na ataishije na familia yake ili malengo yake yatimie.

Family is a personal issue not a public.
 
Dyudyu tamu huchelewi kumuangusha mtoto chini, ulete balaa lingime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom