Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Dah Manyanza leo na wewe huniamini mimi ?
Kweli waja wabaya ,nitaipeleka hata kwa Mello mkuu ili uwe na amani
Mkuu nina imani sana na wewe na kunipa hiyo doctore ni heshima kubwa kwangu. Sema kuna hiki kitoto Poor Brain cha hovyo sana kunifananisha na vikundi vya MBOGAMBOGA wakati mimi ni Mtanganyika wa Ikungulyabashashi huko nikiekulia Songea. Kinanikata sana stimu
 
Nimuulize ni siku gani sasa ?
MENEMENE TEKERI NA PERESI hiyo doktore itakuwa tayari lini ? 😅
Hapana nijitathimini kwanza huyo mtoto wa uyole Poor Brain kanistua sana .
Changanya na waja walioweka maazimio ya kunitusi PM kila asubuhi na jioni imebidi nisitishe kwanza hiyo ngoma labda mambo yakiwa sawa kiasi
 
Back
Top Bottom