Wewe ni mbinafsi na una roho mbayaKitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu.
Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa, kwanza mwanaume kulilia ni dhambi kubwa sana wanawake wengi sana.
Mwanaume unapiga simu kwa mwanamke unalialia eti rudi wakati kaondoka mwenyewe kweli.
Hii maana yake wewe ulishakata tamaaHeee mkuu ,kumbe mapenzi yanaumizaga na hamsemiii😀😀
Mm npo na focus na pesa na Chelsea 😀 😀,mapenzi n ya watu wenye muda wakupotezaa...
You will be fine..... You will be fine.... wewe sio wa kwanza au wa mwisho kupigwa na kitu butu kwenye mapenzi.Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu.
Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa, kwanza mwanaume kulilia ni dhambi kubwa sana wanawake wengi sana.
Mwanaume unapiga simu kwa mwanamke unalialia eti rudi wakati kaondoka mwenyewe kweli.
Huyo chalii kashapigwa na kitu butu.Huyu sio bure limebuma huko anajitetea tu
Kwann unapuuzia pm yangu?Hii wiki watu mmeumizwa sana na mapenzi