Zama hizi hazirudi tena

Zama hizi hazirudi tena

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409651177875.jpg
 
wengine tulichezea watoto wa udongo na vyungu tulivyofinyanga! kwakweli ilikuwa poa sana
 
wengine tulichezea watoto wa udongo na vyungu tulivyofinyanga! kwakweli ilikuwa poa sana

Na kujipikilisha na kuact kibaba baba au kimama mama na siku kama mko wanaume tupu mnamchagua mmoja anakuwa mama
 
kule njombe inajulikana kama bagadu
 
marafiki zangu walikuwa wanatengenezewa na kaka zao na mimi sina kaka siwezi kutengeneza,nikaanza kuiba hela nyumbani kwenye meza kuzinunua,ishu nyumbani nikifika naficha maana wataniuliza umetoa wapi.

Wazazi wengi wa kiafrica hawakutujengea mazingira mazuri ya kujali hobbies zetu
 
Kuna wazazi walikuwa watemi mno na hawakuwa tayari kumpa mtoto uhuru wa kuonyesha kipaji au uwezo wake kwenye mambo mengi wao walitaka lifuatwe wanalotaka wao bila kujali usahihi wake
 
Hii baiskeli inanikumbusha Handeni late 60's
 
Aiseee umenikumbusha mbaaali kweli michezo ya bering, rede, kombolea , kuruka kamba , kulamba vifungo unashangaa shati la shule halina vifungo hata kimoja unashilia na pin au uzi, kidali po hii haitakaa itokee tena watoto wa kizazi hiki ni balaaa wanajua gemu tu na mambo ya kikubwa ni shiiiiida
 
ha ha ha ha nimekaa muda mfupi sana njombe nilikuwa nawaona wajomba zangu wanaendesha
Chaugingi pale karibu na machinjio
ngwichilli ndio jina lao halisi la mkoa wa njombe kwa sasa nimekaa kama miaka mitatu huko,hususani njombe na ludewa
 
ngwichilli ndio jina lao halisi la mkoa wa njombe kwa sasa nimekaa kama miaka mitatu huko,hususani njombe na ludewa

mara ya mwisho 2010 ndio nilikuwa huko
 
Back
Top Bottom