Zali la mentali, ushauri tafadhali

Mwambie auze laptop moja apate US$ 98 za kutuma zawadi zilizobaki, kisha yeye abaki na pesa zingine alizouza laptop. Hapo umemaliza mchezo.
 
Mwambie auze laptop moja apate US$ 98 za kutuma zawadi zilizobaki, kisha yeye abaki na pesa zingine alizouza laptop. Hapo umemaliza mchezo.


kwanza kutuma zawadi sio pesa nyingi kama hivyo nlipokea zawadi from Italy lakin alilipa kama euro 20 hivi sasa huo mzigo wa hela nyingi hivyo ni utapeli
 
Tuma mkuu! Tena ongeza na kiasi kidogo akuongezee na vingine upokee mzigo mkubwaaaa!
 
huyu jamaa anajifanya mbishi ...sasa si utume mkuu ubishi wa nn humu....tuma uliwe akili ipevuke...over.
 
Kwanza email yako kapataje? Jiulize nakwambia hao ni matapeli shukuru Mungu upo jf na unapata ushauri kuna wengine kama wewe hawana sehemu ya kuomba ushauri na wanakurupuka na kutuma pesa .mijamaa inapiga pesa sio mchezo kwa tamaa. Acha tamaa kijana
 
Pole mkuu hao matapeli hapo zinatafutwa details zako ili zitumike kwa mambo mengi
 
tumia akili kidogo fanya yafuatayo.

mwambie huna kitu na ungependa mzigo ukufikie. hivyo aupeleke ubalozini wataufikisha
 

Mwenyewe kaona ni zari la mentali limemfikia kama profesa j.
 
hao ni matapel i wa kimtandao,samahan ilakini unaonekana ni mgeni wa kimtandao haya mambo yapo kwenye mitandao ya kijamii, kuna rafiki yangu aliwahi tuma ac.no wakaiba hela zote na ac ikawa blocked,we mwelekeze ukweli kama wewe umeshtuka kama yeye ni tapeli uone kama atarudia kkukutumia smss za nanmna hyo tena. kukutumia
 
M nilishawai kuwatia matusi mazito tena kwa kiswahili na hawakufanya tena huo ujinga kwenye email yangu
 
Simple way out....

Mtumie huu ujumbe,

 


Word....
 
Hahaha... Nakumbuka 6 years ago nilitumiwa hadi barua kutoka Royal Bank of Scotland [RBS] kuthibitisha kua Kuna hela yangu.. Dah, watu wanajua kufoji asee
 
Watu kwa kupenda uslope? Mtu anaanza tu kukutumia laptops na iphones na haujiulizi why anitumie? Hii shida ya malezi ndio inafanya na mabinti haga kuolewa inashindikana. Kila kitu ni kitega uchumi.

Ptuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…