Zali la mentali, ushauri tafadhali

Zali la mentali, ushauri tafadhali

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
2,498
Reaction score
1,482
Wana Jamii Forums habari.

Ni hivi nilikuwa nachati na mama mmoja huko UK ila sijui e-mail yangu alipataje kikubwa mama alikuwa anataka tuwe marafiki tu na picha kibao kanitumia na huyo mama anajiita Dr.oliver michel.

Sasa kuna siku akaniambia nimekutumia zawadi kupitia kwa Rev sisi Mary maana yeye kaenda haiti kwa shughuli za kidini kwa hiyo akanipa mawasiliano na huyo mwenye zawadi yangu ambaye ndiyo huyo hapo chini copy and paste maelezo ya huyo aliyetumwa na zawadi.

Sasa wakuu mnishauri tafadhali nitume kiasi hicho cha pesa ili niweze kupata huo mzigo .








ohnson To me



Jan 14 at 2:23 PM
from Rev sis Mary Johnson


GOOD DAY.
MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU,HAPPY NEW YEAR




I'm Reverend ,Sister Mary Johnson,a friend to Dr.Oliver Michell from United Kingdom. Am here in Senegal for missionary work with (Hope Worldwide Aid support to Senegal with my groups, Sisters of Our Lady of Christian Doctrine.)


Sorry for my late response, we just arrived here in Senegal and i have been trying to set up our tents in other to start work immediately,the weather here is too hot and we have a lot of places to visit.


I have been able to make contact concerning the sending of the gift package which contain 2 Toshiba laptops computer, i-phones, AN ENVELOPE, Video Camera and some jewelries, with photos e.t.c, from your friend.


D.H.L Check the parcel and charge (98,Dollar ) which is about to dispatch it to your contact address in your country . D.H.L is much more effective and rapid.


The D.H.L will take 2-3 working days for the gift parcel to reach your home address. I will advice that you send the postage money through any money transfer agency such as western union money transfer or money gram and forward all the transfer information to me in my names .I will send your package immediately once the amount for D.H.L is received.


I want to tell you that this is my first time to visit Africa and i don't have any bank account to give you now, but i have make an inquiry with our driver here and he told me that the only way you can send money to me is through Western Union Money Transfer Or Money Gram


You can use the below information to transfer the posting fee
.
Receiver Name :Mary Johnson
Question:
Answer :
Address : 72B Yoff Tonghor
city : Dakar
Country : Senegal .

please try to send the money through Western Union Money Transfer with the above given information and send me the scan copy of the transfer slip. The D.H.L officials told me that there is no possibility of sending your gift package without the fee as such services is not available in this Country Senegal.


Please try and send me this money immediately so that i can send you the gift soon because we will be visiting some villages from next week. This money is the only thing that is holding me to post the package to you now. OR if you can come down to Senegal to pick it up, it will also be preferable. You can use the Above information to transfer the D.H.L fee.


please call me as soon as you send the money and also SCAN the transfer slip and send me a copy.
Thanks and remain blessed
Rev,Sis Mary Johnson .
: rev.sis.maryjohnson@hotmail.com
Phone: +221781498158








Reply, Reply All or Forward | More
 
Mkuu huo utapeli watu wameshaliwa sana
 
Kivipi we huoni napiga bingo hapo

We tuma tu mkuu,wanaleta zawadi nyingi hata mimi hao jamaa washawahi kunitumia.

Nilikua najiuliza kwanini ukimwi haupungui ingawa elimu inatolewa kila siku lakin ndio kwanza vinazidi,nimekuja kugundua kumbe kuna watu hata iweje wanapenda kujaribu vitu ambavyo wanajua kabisa vinaweza kuwaletea madhara.
 
Iyo pesa ni almost 150,000 or 160,000 ivo cheza bahati nasibu ukipata powa ukikosa swari, mbona ni vitu vya kawaida kuliwa? Nakushauri tuma man
 
We tuma tu mkuu,wanaleta zawadi nyingi hata mimi hao jamaa washawahi kunitumia.

Nilikua najiuliza kwanini ukimwi haupungui ingawa elimu inatolewa kila siku lakin ndio kwanza vinazidi,nimekuja kugundua kumbe kuna watu hata iweje wanapenda kujaribu vitu ambavyo wanajua kabisa vinaweza kuwaletea madhara.

Asante kwa ushauri accepted and taken
 
Chonde chonde usijaribu kutuma mwenzio nilisha lia
hao ni matapeli wa kinageria ni pm email yako nikutumie email zote walizo nitumia wamechukua dola 60.yaani ilikuwa msiba mkubwa ndani ya nyumba wife hakunielewa kabisa
 
Mweeeeeh pole yako hao ni matapeli wa mtandaoni yaani akununulie vitu vyote hivyo akose hela ya kukutumia daaah akili za kuambiwa changanya na zako

Unajua ni kweli kabisa hata mimi nilimwambia auze baadhi then atumie fedha za mauzo kunitumia kama kweli yeye siyo mwizi
 
Iyo pesa ni almost 150,000 or 160,000 ivo cheza bahati nasibu ukipata powa ukikosa swari, mbona ni vitu vya kawaida kuliwa? Nakushauri tuma man

We unaakili sana
 
Chonde chonde usijaribu kutuma mwenzio nilishalia
hao ni matapeli wa kinageria ni pm email yako nikutumie email zote walizo nitumia wamechukua dola 60.

Mbona biography inaonesha katoka UK na sura mzungu pure
 
Back
Top Bottom