Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Nimesikia walishaachana ..mumewe alikua Abdul Mohammed nilisoma nae pale Azania jamaa alikua smart na kipaji cha uongozi tangu shule.
Abdul alikua smart kichwani kwa lipi? Alikua na kipaji cha uongozi nakubali ila sio akili, nimesoma Azania miaka 6
 
Huyo DC mume wake alikua Abdul Mohamed, alishawahi kuwa mtangazaji habari za michezo pale Clouds, akaenda BBC na baadae akaajiriwa Azam fc.
Kuhusu Huyu Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso ambaye pia ni mbunge wa Pangani kumuoa huyo DC labda tumuulize Haji Manara.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Huyo Abdul Mohammed ni Board Member pia wa CRDB Board of directors kwa sasa.
 
Nimesikia walishaachana ..mumewe alikua Abdul Mohammed nilisoma nae pale Azania jamaa alikua smart na kipaji cha uongozi tangu shule.
Ulisoma nae O -Level? maana wakati wao wapo O level sisi tupo advance.

Nakubaliana na wewe kuwa alikuwa na talanta ya uongozi na ndie alikuwa General secretary huku Rais akiwa bwana F.Andrew wa EGM
 
Hatapitapi. Ametoka kwa kapuku kwe da kwa Waziri. Kwenye cheo, hela, gari mwanamke anageuka tu.
Nouma Sana .... Mbona mshikaj wake wa Kwanza naskia ni member wa CRDB commetee au tumepigwa kamba
 
Naona vijana wa Ngozye na Mr Ayoub mnachuana
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....

Mchwa mpaka.....

Azania for life.......
 
Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....

Mchwa mpaka.....

Azania for life.......
 
Abdul alikua mtu wa watu..yupp form 3 mimi nipo form 1
Ulisoma nae O -Level? maana wakati wao wapo O level sisi tupo advance.

Nakubaliana na wewe kuwa alikuwa na talanta ya uongozi na ndie alikuwa General secretary huku Rais akiwa bwana F.Andrew wa EGM
 
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....

Mchwa mpaka.....

Azania for life.......
Alikuwa mwalimu wa Fine arts pia, alikuwa anafundisha kuchora, ofisi yake ilikuwa floor ya juu karibia na fish pond
 
Back
Top Bottom