Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
- Thread starter
- #21
Hapo huenda ukisha wahi kutafuta hivyo cookies walitambua hivyo vitu ni moja ya vipendwa vyako.Chrome wkt mwengine ukiifungua unakuta message za ajabu ajabu mfano za madada wa pornography wanakuhamasisha uclick ..
Ndio maana wanakuletea, huenda si wewe ulie tafuta hivyo vitu lakini simu au kifaa chako kilitumika aubkutumiwa kutafuta.