Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
CRI Kiswahili
Zaidi ya nusu ya ndovu Tanzania wameuwawa.
Matokeo ya baada ya kuhesabiwa kwa ndovu nchini Tanzania, yanaonyesha wanyama hao wamepungua kutoka ndovu 109,000 mwaka 2009 hadi 51,000 mwaka 2015.
Wengi wa ndovu wawameuwawa kwenye uhalifu wa uwindaji haramu kwa ajili ya pembe zao.
Chanzo.CRI Kiswahili
Baada ya Mika 5 ijayo Tanzaniakutakuwa Hakuna Tena Tembo itabaki ni Historia tu kam kulikuw na Tembo nchini Tanzania.