PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 13,294
- 42,808
zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano.
Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.
Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.