KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,595
- 3,853
Na KENGE,
Hakuna jambo zuri kama 'Adventure' yani kutalii,kusafiri kujionea maajabu ya dunia.
Mlima Everest unapatikana Asia kwenye mpaka kati ya China na Nepal viunga vya Himalayas.Ni mlima mrefu kuliko yote duniani wote tunafahamu!Ni mlima wenye mita 8,850 kwenda juu sawa na 9Km kwenda angani.Hii inaufanya Mlima Everest kuwa point ndefu duniani kuliko point zote.
Kupanda Mlima huu mpaka juu utatumia siku 60 na hii ni baada ya kuthibitishwa na mamlaka ya China au Nepal kuwa Afya yako inaweza kuhimili hali mbaya ya hewa kwenye kilele cha mlima Everest.Watu wengi hufanya mazoezi kwa mwaka mmoja au zaidi ili kuzoea hali ya hewa ya huko juu.
Katika Mlima huu kuna miamba iliokatika hivyo kupelekea wapandaji kuwekewa ngazi wapite na kuanguka ndio inatajwa ni sababu kuu ya vifo vingi wakati wa kupanda Mlima huo
Wasindikizaji(Mapota) hutumia miili ya maiti kama alama(Landmarks)ya wapi walipofika mfano kuna maiti zimevaa viatu vya kijani hupewa 'nicknames' GREEN BOOTS au maiti za kike hupewa majina ya BEAUTIFUL YELLOW FLOWER kama alama za kituo.Hizi wanatumia mapota na Radio call(Redio koo) kuwasiliana na makao makuu au mapota wenzao wakati wa kupanda mlima
Haziozi?
Ndio maiti hizo ni ngumu kuoza kwakuwa nyingi zimefunikwa na barafu(Snow) hivyo basi ni kama mochwari ya bure kabisa maiti hizo ni ngumu kuoza.
Kwanini hazitolewi?
Nyingi zipo maeneo hatari sana kupelekea kuhatarisha maisha ya waokoaji hivyo hakuna budi kuziacha hapohapo.
Naweza kufika kileleni?
Hapana sio rahisi kama kupanda Mt. uluguru au Mt.Kilimanjaro yetu.Kuna point(kituo) maalumu ambacho ndio mwisho wa watalii kufika na ili ufike kileleni ni lazima upewe kibali na kituo cha aidha China au Nepal.kwa miaka 20 iliyopita 50% kati ya waliopewa vibali 8% tu ndio walifanikiwa kufika kileleni
•Summit/kilele cha Mlima Everest ni point ambayo Commercial airline(Ndege za abiria) zinapita level hiyo(Hazipiti hapo kileleni)
•Kwasasa Mamlaka ya China na Nepal imeweka sheria ni lazima kupanda na Mtungi wa Oxygen kwa kila mtalii kuepusha vifo vitokanavyo kwa kukosa hewa
Utalala wapi?
Kuna Tent zimeshajengwa uko utalala usiku na asubuhi safari inaendelea.vilevile kuna Hoteli za kifahari zimejengwa huko ni pesa yako tu.
Gharama za kupanda mlima Everest zipoje?
Hapa wanajamvi muitag ID ya wizara ya utalii kama ipo humu JF.Garama za kupanda Everest ni $30,000 hapo ni kwa mtu mmoja na ukitaka huduma bora(kampuni) walau uwe na $45,000/ na pia ukitaka kupanda pekeako unaruhusiwa na gharama ni $11,000/ kama utahitaji escort ya mapota utatoa $8000. so kwa mlala hoi inabidi uwe na walau $20,000/ achilia mbali nauli za ndege+passport sijui emergence n.k
MEANWHILE.
Kwa foregner kupanda mlima kilimanjaro ni as low as $ 10,000/ tu..sio ndogo ILA ukilinganisha na hao wachina wanavyoupiga mwingi kwenye mlima wao..Si ajabu ukasikia mlima Everest unaingiza mkwanja mara mbili(ipo hivyo) au tatu ya iliyoingiza Sekta nzima ya Utalii ya TZ nzima changanya na Znz..Mind you Everest mapato yanagawanywa kwa nchi mbili China na Nepal lakini wanajua thamani yao ndio maana wakaweka standard hizo.Sasa iweje mchina/Mzungu aje (Kilimanjaro) ambao nao ni wa3 kwa urefu dunia nzima umtoze pesa ndogo hivyo? Sound's weird.
Sasa ndugu msomaji tuendelee na habari yetu,Pale kwenye Geography au Physics ulisoma Atmosphere(Anga) is occupied by air(hewa) na hewa ni mkusanyiko wa gesi mainly (Nitrogen,Carbondioxide,Oxygen,Others) sindio? Na katika hizo gesi Oxygen imeshika mkia kwa kuwa kupewa nafasi kiduchu ya 7%.
Na kwenye hii 7% ni 5% nzima ipo kwa ground alaf 2% ndio ipo kwenye atmosphere.kwahiyo wakasema 'The higher you Go,The Cooler it becomes" nasema uongo ndugu zangu?
Sasa unapozidi kupanda juu ndio Oxygen inapungua hatimae inaisha mapafu/Alveoli yanashindwa kufanya kazi yake ya Gaseous exchange kwakuwa hayawezi kutoa CO2 na kuingiza CO2 ambazo ni uchafu/ushuzi mtupu.Utaanza kusota na hatimae utakata moto.Na jumlisha lile baridi la kule juu utakufa tu.ndio sababu unashauriwa ufanye mazoezi ya kutosha ili mapafu yaendane na hali ya kule na wanaopewa vibali ni wanaofikia level wanaita AB-Cases hakika wenzetu wameendelea.
Miezi unayoshauriwa kwenda ni April-May kwakua hali ya hewa inatulia kidogo sio kali kama msimu wa winter.Hii misimu mingine wanaita Harsh Humidity uko juu.
Naweka kituo hapa,Naomba wajuvi na wajuaji wafanyie upembuzi yakinifu Mlima Kilimanjaro nahisi kuna vifo vingi sana tunafichwa na kadha wa kadha
Nawasilisha
Wako mtiifu,JINI JINIAS