Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Wednesday, 17 February 2010Uchunguzi wa awali wa vyanzo vyetu mbalimbali unadokeza kuwa hadi hivi sasa zaidi ya shilingi bilioni 25 za vocha ya manunuzi ya pembejeo za kilimo (hususan mbolea na mbegu) zimetafunwa katika mikoa ipatayo 20 iliyopewa mfumo huo wa ruzuku ya serikali. Watendaji mbalimbali wa serikali kuanzia mkoa hadi vijijini kwa kushirikiana na watumishi wa ngazi mbalimbali wameshirikiana katika kutumia vibaya vocha hizo ambayo karibu nusu ya fedha zilizotengwa katika kusaidia upatikanaji wa zana na pembejeo za kilimo
zinaonekana kutumiwa vibaya. Tangu tuliporipoti juu ya wizi wa vocha za zaidi ya bilioni 7 huko Rukwa uchunguzi wetu wa awali kwa mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Morogoro, Kigoma na Iringa unaonesha kuwa serikali ya Rais Kikwete imejilundikia kashfa nyingine kubwa.
Wednesday, 17 February 2010Uchunguzi wa awali wa vyanzo vyetu mbalimbali unadokeza kuwa hadi hivi sasa zaidi ya shilingi bilioni 25 za vocha ya manunuzi ya pembejeo za kilimo (hususan mbolea na mbegu) zimetafunwa katika mikoa ipatayo 20 iliyopewa mfumo huo wa ruzuku ya serikali. Watendaji mbalimbali wa serikali kuanzia mkoa hadi vijijini kwa kushirikiana na watumishi wa ngazi mbalimbali wameshirikiana katika kutumia vibaya vocha hizo ambayo karibu nusu ya fedha zilizotengwa katika kusaidia upatikanaji wa zana na pembejeo za kilimo zinaonekana kutumiwa vibaya. Tangu tuliporipoti juu ya wizi wa vocha za zaidi ya bilioni 7 huko Rukwa uchunguzi wetu wa awali kwa mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Morogoro, Kigoma na Iringa unaonesha kuwa serikali ya Rais Kikwete imejilundikia kashfa nyingine kubwa.
Matukio kama haya ni mazuri sana kwenye mustakabali wa Taifa letu... maana tutajua kwa uhakika zaidi kwamba adui yetu ni akina nani, na wako wapi?
Baada ya kung'amua maadui wa Taifa hili, then tutachukua hatua muafaka kuwaondoa, kwa sasa silaha zetu zinalenga at least 45% from the actual enemy!
Sio sasa muda wote tunavyodhani ati adui yetu ni akina RA? sasa hapo napo alikuwepo...????
Wednesday, 17 February 2010Uchunguzi wa awali wa vyanzo vyetu mbalimbali unadokeza kuwa hadi hivi sasa zaidi ya shilingi bilioni 25 za vocha ya manunuzi ya pembejeo za kilimo (hususan mbolea na mbegu) zimetafunwa katika mikoa ipatayo 20 iliyopewa mfumo huo wa ruzuku ya serikali. Watendaji mbalimbali wa serikali kuanzia mkoa hadi vijijini kwa kushirikiana na watumishi wa ngazi mbalimbali wameshirikiana katika kutumia vibaya vocha hizo ambayo karibu nusu ya fedha zilizotengwa katika kusaidia upatikanaji wa zana na pembejeo za kilimo zinaonekana kutumiwa vibaya. Tangu tuliporipoti juu ya wizi wa vocha za zaidi ya bilioni 7 huko Rukwa uchunguzi wetu wa awali kwa mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Morogoro, Kigoma na Iringa unaonesha kuwa serikali ya Rais Kikwete imejilundikia kashfa nyingine kubwa.
uchunguzi wetu huu wa awali ambao tutaufunua siku chache zijazo unaonesha kwa mara ya kwanza mfumo wa ufisadi umeweza kutawanywa hadi ngazi za chini kabisa ambazo zamani zilionekana kukingwa. Katika mtindo huu wa sasa inaonekana hadi watumishi wa ngaza za chini sana wamehusishwa katika kushiriki katika kufanikisha mtandao wa uchotaji wa fedha hizi kwa kutumia mbinu ambayo imekuwa ikitumika katika manunuzi mengine.
Watu ambao wanaendelea kuumizwa ni wakulima wa kawaida ambao sasa wanataka mbolea (ambayo ipo) lakini hawana vocha za kununulia na hivyo wengine kulazimika kulipia ununuzi wa pembejeo hizo katika bei yake halisi na hivyo kudefeat kabisa lengo zima la vocha.
Jamani hivi tutafika kweli? Hivi kweli muungwana anayajua haya?
Let direct problems/challenges to the appropriate owner.... hii sio kazi ya Rais ni Kazi ya Waziri Mkuu!!!!
Kasheshe,Let direct problems/challenges to the appropriate owner.... hii sio kazi ya Rais ni Kazi ya Waziri Mkuu!!!!
Kwani wewe ulitegemea mradi ungeenda kama ulivyopangwa kwenye makaratasi? Fedha zote zinazoliwa kifisadi hapa nchini hazichotwi hazina moja kwa moja, bali uhalalishwa kupitia miradi mbalimbali kama hii. Labda tukumbushane mfano wa hivi karibuni...mabilioni ya Kikwete ambayo hata Mh. mwenyewe anaogopa kuyaongelea mpaka leo!!
Mwanakijiji,Hivi sisi tuna utajiri gani? kwa sababu wakati mwingine naelewa kwanini Kikwete alishindwa kuelewa kwanini Watanzania ni maskini. Yawezekana ni kwa sababu ni matajiri sana kiasi kwamba tumekubali kuwa maskini?